blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 13,640
- 17,197
Nina uhakika kabisa wadada wengi tunaoamkia,kupika,kutandik,kuota ndoto wakiwa hapa jukwaani wengi hawajaolewa na wamefika umri wa kuolewa.Ni Dhahiri kabisa heshima ndogo na jeuri wanayo onesha hapa mmu dhidi ya wanaume ni tabia yao halisi huko mtaani.
Haiwezekani ukawa na jeuri hapa kama kweli umeolewa na unamuheshimu mumeo. Tabia yenu ya kupenda hela na kuponda wanaume wenye vibamia hakika nawaambieni mtazeeka kwa baba na mama zenu.
Mtu upo 25-35 lakini kila mwanaumeanayekuja kupropose unataka awe na gari, viwanja, anaetake home milioni 2 kama mshahara.Hakika nakusihi wewe mwanadada mwanaume huyo hutampata kamwe,labda umuokote kama embe.,
Acheni tamaa ili muolewe, elimu zenu hazita wapa furaha ya maisha, degree haitoi mimba. Mtapofika miaka 35 mtaanza ugua maradhi ya msongo wa mawazo na kuishia kuzaliswa.
Cc. Wadada.