Wakati mwingine akina dada mnayataka wenyewe.

Carnivora

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,650
Reaction score
6,028
Hiki kisa kilinitokea wakati nikiwa bachelor. Unanijua kabisa mimi naishi ghetto peke yangu. Unakuta nguo ya kike unaanza kuhoji hoji! Asee fata kilichokuleta, ujue kuna mama mwenye nyumba na kama nilikuambia niko single basi jua alikuwepo.

Ni hivi kuna manzi nlikua nadate naye, akanizingiua tukaachana. Nikavuta single mom mwenye mahaba na mkali kuliko bidada. Huyu ndiye aliyeacha kitenge chake. Akanivalisha na necklace yenye herufi ya mwanzo ya jina langu/lake maana tunafanana herufi za mwanzo ya majina yetu. Lakini huyu aliniacha sababu nilikua naendekeza ujana.

Yule bidada wangu baada ya miaka 2 akarudi. Siku moja kakomaa anataka kile kitenge. Nikamwambia akiache ni cha nakipenda sana. Nilinunua pande 3, mbili nikampa mama hicho nikabaki nacho. Unafanyia nini? Mi sometimes nikienda kuoga najifunga kiunoni. Taulo naacha pale mlango wa bafuni. Mama kang'ang'ani anakitaka tu. Akasema ataleta chake kingine kile achukue. Akafanya hivyo.

Siku moja wakati namrudisha kwake alikua anakomaa kunivua kile kidani shingoni nikamwambia subiri tufike nipark mama nisije kusababisha ajali bure. Nilipopark tu akanivua na kuniambia nimvalishe yeye. Si kina herufi ya jina langu bwanah! I thought for a while, nikakataa. Akang'ang'ania sana. Sikumvalisha ila aliondoka nayo.

Siku moja tunapiga mastory akakumbusha kwanini nilikataa kumvalisha kile kidani. Nikamwambia hakikua kitu kizuri. Kwanini? Nikasema kile alinipa fulani bint fulani. La hawla. Akashtuka kisha akauliza, ana mdogo wake anaitwa fulani? Nikasema ndio....dogo mmoja bishoo hivi. "Huyo mdada simjui ila huyo mdogo wake tulikua tunafanya kazi wote (akaitaja kampuni). Nikamwambia yes ndio yeye.

Akaingia fb kumtafuta, akakutana na chuma, single mom mkaliiii pozi zikamuishia. Akanywea kwanza. Kisha akauliza, huyu ndio dadake fulani nikajibu ndio, ndio yeye. Ndio ulikua unatembea naye? Eeh mama, tena sana tu. Kavu kavu mara nyingi maana kaweka kijiti kuzuia mimba. Na huyu mtoto ni wako?Nikamwambia hapana huyo alizaa kabla hajawa na mimi.
"Ina mana na kile kitenge alikupa yeye? Ndio, na sio kwamba alinipa ila alikiacha ghetto na mpaka tunaachana hajakifatilia. Nilikua naongea kwa utani utani huku nikimaanisha.

Kwa sauti ya mwenye kutia huruma zilizochanganyika na hasira akasema. "Kile kitenge naenda kukichoma moto na kile kidani nakitupa. Huwezi kunivalisha mi vitu vya hawara yako." Lakini huyo si tumeshaachana. Hata kama, bora ungeniambia.Nikamuuliza hivi ningekuambia ungekubali kuviona siku zote humu? Ndo nshasema navichoma moto.
Nikacheka. Huyo kaamka akaondoka. Akatuma sms "kama bado unampenda mwanamke wako si useme, umeniudhi sana. Maneno mengiiiii sikumjibu hata 1. Akakaa siku 3 nikimtafuta hajibu. Namimi nikakausha....siku 2 ya tatu mwwnyewe kaanza. "Morning babe"

Shenzi kabisa. Sipendagi ujinga mimi.
 
Ila wanaume mna dhambi sana unaweza kuta mswaki mmoja wanapigia wadada saba bila kujijua kila mmoja akidhani bwana umemnunulia kwa ajili yake.

Anyway mkuu tushajua una drive

Tushajua mnasalimiana kwa kithungu na babe wako hamnaga zile za chupi yangu iko wapi bali mna zile za it was so so yummy babe.
 
Aisee

""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""
 
Ila wanaume mna dhambi sana unaweza kuta mswaki mmoja wanapigia wadada saba bila kujijua kila mmoja akidhani bwana umemnunulia kwa ajili yake.

Anyway mkuu tushajua una drive

Tushajua mnasalimiana kwa kithungu na babe wako hamnaga zile za chupi yangu iko wapi bali mna zile za it was so so yummy babe.
Hii leo imekuwa topic. Mbona kuna uzi wangu humu nilisema wife kang'ang'ania kadi ya gari niliomba msaada. It was my first car kabisa kipindi nikiwa kijana sana. Sio issue gari bwana mbona cheap tu.
 
Uzi bila picha haunogi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hivi eeh?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787]
IMG_20190417_233425_8.jpeg
 
Ila wanaume mna dhambi sana unaweza kuta mswaki mmoja wanapigia wadada saba bila kujijua kila mmoja akidhani bwana umemnunulia kwa ajili yake.

Anyway mkuu tushajua una drive

Tushajua mnasalimiana kwa kithungu na babe wako hamnaga zile za chupi yangu iko wapi bali mna zile za it was so so yummy babe.
Miswaki mipya nlikua nanunua. Washikaji kibao wanakuja kikazi Dar walikua wanalalaga ghetto. Upo safi kabisa kwenye box lake. Mi hadi taulo zipo za ziada 3 mpya ikitumika nafua. Narudisha pale pale.
 
Ila wanaume mna dhambi sana unaweza kuta mswaki mmoja wanapigia wadada saba bila kujijua kila mmoja akidhani bwana umemnunulia kwa ajili yake.

Anyway mkuu tushajua una drive

Tushajua mnasalimiana kwa kithungu na babe wako hamnaga zile za chupi yangu iko wapi bali mna zile za it was so so yummy babe.
subiri tufike nipark mama nisije kusababisha ajali bure. [emoji3][emoji3]

"Enough of No Love"
 
We unavuta nini?
Wewe hii comment yako hapa inachangia nini katika ustawi wa maisha yako?
navuta bangi, ambayo imeekwa mbolea ya mavi ya binamu....
comment yangu inachangia upate ufahamu.....
unakingine?
 
Sasa hapo kina dada tunayataka yapi?
Mbona ni vitu vya kawaida tu.
 
Umejaa utoto wewe mnaanza mapenzi kabla hamjakomaa ndio tatizo.

Back
Top Bottom