MSAADA JUU YA CHAKULA CHA MTOTO

MSAADA JUU YA CHAKULA CHA MTOTO

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,651
Reaction score
4,756
NAOMBENI MSAADA WA KIUZOEFU NA KITAALAMU JUU YA CHAKULA CHA MTOTO CHA KUMUANZISHIA BAADA YA KUNYONYA MIEZI MIEZI MITANO NA NIMEONA DALILI ZOTE ZA MTOTO KUANZA KUTAKA KUANZISHIWA CHAKULA KINGINE CHA ZIADA...

JE TUNAMTENGENEZEAJE CHAKULA KIZURI NA BORA CHA MTOTO KATIKA MWANZO WAKE NA MAKUZI YAKE...
 
Kuna account insta inaitwa growing_hollie

Kama upo huko unaweza kufatilia posts zake alianza kupost chakula anachomlisha mtoto wake tangu akiwa na 6 months

Hautajuta mkuu
 
vyakula km viazi ulaya unachemsha pamoja na samaki karoti na hoho uweke chumvi kidogo sana na maziwa au mafuta kiasi kisha pondaponda mpe kidogo kidogo kikiwa cha moto kiasi
 
NAOMBENI MSAADA WA KIUZOEFU NA KITAALAMU JUU YA CHAKULA CHA MTOTO CHA KUMUANZISHIA BAADA YA KUNYONYA MIEZI MIEZI MITANO NA NIMEONA DALILI ZOTE ZA MTOTO KUANZA KUTAKA KUANZISHIWA CHAKULA KINGINE CHA ZIADA...

JE TUNAMTENGENEZEAJE CHAKULA KIZURI NA BORA CHA MTOTO KATIKA MWANZO WAKE NA MAKUZI YAKE...
Hizo dalili zikoje au umezionaje za mtoto kutaka kula? Kama nishida yakuachiwa mtoto na singo maza funguka ili ushauliwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom