Kuna mtu ananiita honey. Kimoyomoyo najisemea "laiti angelijua nilimopita"!!

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,408
Yeye kafiika mwisho wa reli ya mapenzi. Ananiona bonge la MTU! Kumbe nimepita mwingi, na nimefanya na kufanyiwa mengi ndiyo maana nimeamua kuweka silaha chini. Nimevaa ngozi ya kondoo baada ya kuvuka stage ya kuwa chui.

Mm nafsi inanisuta nikiitwa honey. Kwa niliyoyafanya katika tasnia ya mapenzi, nadhani napaswa kuitwa takataka, shubiri, chukizo, na majina mengine mabaya kama hayo.
 
Yeye kafiika mwisho wa reli ya mapenzi. Ananiona bonge la MTU! Kumbe nimepita mwingi, na nimefanya na kufanyiwa mengi hivyo nimeamua kuweka silaha chini. Hivyo nimeamua kuvaa ngozi ya kondoo baada ya kuvuka stage ya kuwa chui.

Sawa.Sasa unataka hilo suala lako liwe mtambuka au liishie hapahapa?
HALAFU
Leo umekuja kama mwanaume,mwanamke au both?
 
Unataka kusema Pia kote kote umetumika? Na pia kwanini usipendekeze jina sahihi la yeye kulitumia? Kwamfano labda awe anakuita Gabbage....???

Anyway i am kidding, nafsi yako bado ina thamani.Kikubwa ni kujirudi na kuavha njia zako mbaya.
 
Au awe anamuita Birian
 
Yaani ukute nayeye ameshakula kila aina ya bwawa ..so at least anaona shimo lako halijachoka sana

#tuunge juhudi
 
Kwani akikuita honey we unajibu ng'ombe!??

Yeye alikotoka unakujua.!??

Mbona unajamba hovyoo!!!!
 
Yeye kafiika mwisho wa reli ya mapenzi. Ananiona bonge la MTU! Kumbe nimepita mwingi, na nimefanya na kufanyiwa mengi hivyo nimeamua kuweka silaha chini. Hivyo nimeamua kuvaa ngozi ya kondoo baada ya kuvuka stage ya kuwa chui.

Mm nafsi inanisuta nikiitwa honey. Kwa niliyoyafanya katika tasnia ya mapenzi, nadhani napaswa kuitwa takataka, shubiri, chukizo, na majina mengine mabaya kama hayo.
Tupe hint kidgo , ni yepi uliyo yafanya hasa!
Hata kama ulipigwa mtungo
 
Yeye kafiika mwisho wa reli ya mapenzi. Ananiona bonge la MTU! Kumbe nimepita mwingi, na nimefanya na kufanyiwa mengi hivyo nimeamua kuweka silaha chini. Hivyo nimeamua kuvaa ngozi ya kondoo baada ya kuvuka stage ya kuwa chui.

Mm nafsi inanisuta nikiitwa honey. Kwa niliyoyafanya katika tasnia ya mapenzi, nadhani napaswa kuitwa takataka, shubiri, chukizo, na majina mengine mabaya kama hayo.
Wameku Mariam birian?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom