Nimetaftiwa mchumba ambae alikuwa dem wangu!

adden

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
7,035
15,537
Heri ya msimu huu wa sikukuu.

Ni mda sasa umepita nyumban wakinilazmisha kuoa lakin mi km sisikii wala kuona vile....
Wanaona umri unaenda bora watumie mbinu za uwanja wa geshi nitafutiwe mke nioe nitake nisitake au kama nna tatizo niseme walitaftie ufumbuzi.
Hahaha sijui wanahis mi sidisi.
Juzi nikaambiwa twende tutoke mara moja baba na mama hao tukajitupia kwenye ndinga...
Njiiiiim njiiiim tukiwa njiani ndo naambiwa bwana mkubwa unajua tunaenda wapi??!!sijui nyie mniambie maana mmenibeba tuu!
Ahaaa mwanangu tunaenda sehem umuone mchumba km atakufaa tuendelee na michakato mingine!!
tunafunga breki mbele ya nyumba ya kina yule dem wng!kidogo niruke nakpiga moyo konde huku kijasho kidooogo kinatoka.
Wameongea paleee mi nipo kimya mara dem akaitwa wala hata hajashtuka wala kujali zaid ya kujifanya anaona aibu!eti jamani dem aliwe na rafk yko kisha muachane then leo upewe hilo zigo huku wazaz wanashikilia kwmba huyo ndo mchumba mzur tunamtaka na ametulia sana na ni bikra!hahahahaha mi nikawaambia sijampenda tuuu..
Hapa leo sijaenda hata hom kw huo mtiti ambao nitaletewa
 
Kijana iweje wazazi wakutafutie mke hizi ni zama zingine na vp kuhusu wewe ukimya wako wa kuleta mchumba home mpk wazaz wanakuwa na wasiwas
 
Sijaona dem w kupeleka hom wamuone!huwa tunamalizana nao huku huku kitaaa..upeleke dem hom umtambulishe kesho azingue umuache itakuwa kujichoresha tuu
 
Heri ya msimu huu wa sikukuu.

Ni mda sasa umepita nyumban wakinilazmisha kuoa lakin mi km sisikii wala kuona vile....
Wanaona umri unaenda bora watumie mbinu za uwanja wa geshi nitafutiwe mke nioe nitake nisitake au kama nna tatizo niseme walitaftie ufumbuzi.
Hahaha sijui wanahis mi sidisi.
Juzi nikaambiwa twende tutoke mara moja baba na mama hao tukajitupia kwenye ndinga...
Njiiiiim njiiiim tukiwa njiani ndo naambiwa bwana mkubwa unajua tunaenda wapi??!!sijui nyie mniambie maana mmenibeba tuu!
Ahaaa mwanangu tunaenda sehem umuone mchumba km atakufaa tuendelee na michakato mingine!!
tunafunga breki mbele ya nyumba ya kina yule dem wng!kidogo niruke nakpiga moyo konde huku kijasho kidooogo kinatoka.
Wameongea paleee mi nipo kimya mara dem akaitwa wala hata hajashtuka wala kujali zaid ya kujifanya anaona aibu!eti jamani dem aliwe na rafk yko kisha muachane then leo upewe hilo zigo huku wazaz wanashikilia kwmba huyo ndo mchumba mzur tunamtaka na ametulia sana na ni bikra!hahahahaha mi nikawaambia sijampenda tuuu..
Hapa leo sijaenda hata hom kw huo mtiti ambao nitaletewa
Hahahah. Hali kama hiyo kuna mshikaji wangu pia imemkuta. Lakini yeye babake alikuwa anasisitiza kumuuliza kama ana tatizo aseme
 
Dem wng afu rafk yng akaniovatek then leo bila kujua eti awe mchumba tena.wazaz wt hawajui hilo muvi tunajua mi na dem tu
Daaahhh, mshua kapita kwa mwendo wa Bombardier amekuacha mataa.....

Ila demu si bado mtamu...fanya roho ikipendacho
 
Njia ya mwongo ni fupi.... Mara demu wako, mara demu wa rafiki yako. Ukitaka kuwa mwongo mzuri, uwe na kumbukumbu.
Heri ya msimu huu wa sikukuu.

Ni mda sasa umepita nyumban wakinilazmisha kuoa lakin mi km sisikii wala kuona vile....
Wanaona umri unaenda bora watumie mbinu za uwanja wa geshi nitafutiwe mke nioe nitake nisitake au kama nna tatizo niseme walitaftie ufumbuzi.
Hahaha sijui wanahis mi sidisi.
Juzi nikaambiwa twende tutoke mara moja baba na mama hao tukajitupia kwenye ndinga...
Njiiiiim njiiiim tukiwa njiani ndo naambiwa bwana mkubwa unajua tunaenda wapi??!!sijui nyie mniambie maana mmenibeba tuu!
Ahaaa mwanangu tunaenda sehem umuone mchumba km atakufaa tuendelee na michakato mingine!!
tunafunga breki mbele ya nyumba ya kina yule dem wng!kidogo niruke nakpiga moyo konde huku kijasho kidooogo kinatoka.
Wameongea paleee mi nipo kimya mara dem akaitwa wala hata hajashtuka wala kujali zaid ya kujifanya anaona aibu!eti jamani dem aliwe na rafk yko kisha muachane then leo upewe hilo zigo huku wazaz wanashikilia kwmba huyo ndo mchumba mzur tunamtaka na ametulia sana na ni bikra!hahahahaha mi nikawaambia sijampenda tuuu..
Hapa leo sijaenda hata hom kw huo mtiti ambao nitaletewa
 
Sawa kwa nini sasa imefikia hatua ya wazaz kutaka kukutafutia mke hali ya kuwa wewe ni mtu mzima unajielewa! Na vp kuhusu umri wako upo below 28 au above??

Back
Top Bottom