El nino jr
Member
- Aug 7, 2014
- 66
- 24
Habari za mchana wana JF,je ni sahihi mke wa mtu kumtumia picha zake rafiki yake wa kiume?
Ndio!Habari za mchana wana JF,je ni sahihi mke wa mtu kumtumia picha zake rafiki yake wa kiume?
Sio sahihi kabisa.Habari za mchana wana JF,je ni sahihi mke wa mtu kumtumia picha zake rafiki yake wa kiume?
Hakuna usahihi wowote kumtumia picha yoyote Rafiki wa kiumeImategemea ni picha gani inahusu nini
Dooooh😂😂😂😂😂😂😂,, rafiki wa kiume anakosa gani sasaHakuna usahihi wowote kumtumia picha yoyote Rafiki wa kiume
Na pia haitakiwi mke wa mtu kuwa na Rafiki wa kiume
Ipo siku atakutia tuDooooh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],, rafiki wa kiume anakosa gani sasa
Tabia hiyo NI kinyume na maadili.. pia usipo kataza na kuonya !! Hatari yake itasababisha ufuska na upotevu wa familia pande zote na Jamii kuwa chafu !!Habari za mchana wana JF,je ni sahihi mke wa mtu kumtumia picha zake rafiki yake wa kiume?
Hahahahahahaha1. Sio sahihi
2.sio sahihi
3. Haikubaliki
4.usiwe boya unaibiwa
5.sio sawa
6.sio sahihi
7. Ndio mwanzo wa kuchapiwa
8. Unaibiwa bob
9.sio sahihi
10. Sio sawa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu MKUTADHA ndio nini?inategemeana na aina ya picha + mkutadha