Akili Pesa
JF-Expert Member
- Jun 18, 2014
- 617
- 854
Heri ya Pasaka Wakuu?
Katika kusheherekea sikukuu ya Pasaka nimeona tuongelee hawa watu wawili katika Familia yani SHANGAZI na MJOMBA.
JE KATI YA SHANGAZI AU MJOMBA NANI ANA UPENDO WA KWELI??
TUPE MAJIBU KULINGANA JINSI WEW ULIVOKUWA TREATED NA HAWA WAWILI.
Mimi kiukweli hakika My Anko ni Best than Shangazi.
Nawasilisha.