Hivi ushawahi kukutwa na tukio kama hili??

kanchibay

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
672
687
Wakuu hivi kuna mtu ashawahi kuwa na upendo kwa kitu au mtu mpaka akahisi bila hicho kitu au huyo mtu furaha hamna kabisa!!!

Nihiviii, kuna sikumoja hivii nilkua nnampenda mdada flani hivii nahisi kipindi hicho nilkua bado mdogo saaana by 13/14 yrs, sasa ikipita siku sijamuona asee nilkua nahisi kuumwa kabisa, yaan nilkua nampenda mpaka basii, nilkua nampenda lakin naogopa kumwambia, sasa ikatokea akahama shule dah!! Niliumia sana mpaka nkahisi sintopata fraha tena kabisaaa katika maisha ya shule, hilo nikaliona nalo...

Hii sasa ndo kali, kuna kipindi mzee alininunulia baiskeli, sasa kile kibaiskeli nilkua nakipenda saaaana maana ndo nilkua nazurura nacho kitaa na kila kona nilpokua nkielekea, hakika kilitumika kunipa faraja pale nilpokua nakiendesha bcz kilikua too mordern gia kama zote n.k

sasa kuna siku kikaibiwa nimeenda kuangalia mechi kuna tim flan hiviii zilkua zinacheza, dah nkakiacha nje nakuingia kibanda umiza, alooo kilibebwa kimefunngwa hivoivyo, asee kwa uoga, uchungu na kutokujua lipi nifanye niliitafuta baskeli yangu pendwa hadi kwenye mfuko wa suruali nilokua nimelivaa...

Dah kuibiwa kitu upendacho sio kazi ndogo, moyo unakutesa hadi basiii
 
mimi nikikosa kuona tabasamu tamu la bbade napata homa kabisa
 
Unapopoenda kitu/ mtu hofu kubwa huwa nikukipoteza/kumpoteza! Na huo ndo upendo wa kweli! Na upendo kama huo mara nyingi hututokea mioyo yetu inapokuwa michanga au ikiwa haijajeruhiwa bado!
Sawa sawa mkuu, hakika umeeleweka haswa,

Ndomaana huwa nasema hivi

"The pure love is that for the first time an individual offers to some one, and the rest is all about pretending"
 
Back
Top Bottom