geniusMe
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 1,313
- 1,793
Muongozo wa kumega kisela aka ku-skip dating na kwenda kwenye msuguano , kupeana joto mutual induction.
Jaribu kutokua mtu wa kutoa hukumu au kuwa na mawazo ya kumjudge mwanamke au wanawake wengine.
itakuwa rahisi sana kama hakuna urafiki wa karibu sana , ni rahisi kumega kisela endapo hata mwenzio anaona hakutakuwa na risk ya kuharibu uhusiano kati yenu , kitendo cha kuwa na urafiki wa karibu kinaleta kikwazo na risk kubwa katika hili.
Anza mdogo mdogo , hapa mdogo-mdogo una-introduce cues kwamba unataka kula mzigo lakini unaenda taratibu sana , unapoenda kwa pupa demu anashituka na kuona kwamba jamaa ananiona mimi ni malaya au, so unaanza taratibu like , daah sipati picha ....jamaa atakua anafaidi sana , then unapoza.
unahama hapo then baadae unarudi unamtia tena ujinga , ...napenda macho yako una macho mazuri sana , then unapoa unamsoma tena muelekeo lakini usiwe na hofu sana kwani maji ukishaanza kuvulia nguo inabidi kuoga tu, kuna baadhi ya wanawake hapa kujifanya wanaleta sitaki na taka anajidai kama amewaka fulani wakati huu ni muhimu sana kwa wewe ku back down kidogo lakini usibadili msimamo wala kuonesha umeyumba au umefanya something very bad sababu time hii demu anakusoma reaction yako je wewe unalichukuliaje swala hilo , ukichukulia big deal na yeye atachukulia big deal , kumbuka hapa unamtafuta partner in crime so inabidi yeye ajue kwamba issue ya yeye kukupa mzigo kwako sio big deal na kamwe hauwezi kumjudge kutokana na swala hilo,
then unarudi tena kurusha tena nyavu , sasa hapa unacheza na macho yake na rips unaangalia machoni unarudi kwenye rips back and forth nia hapa yeye ajue kwamba jamaa anataka kula mzigo , yani unatuma signal then unaangalia tena reaction yake ,
baadae unasonga mbele unaanza touching zile za uwongo uwongo mara umemgusa bega mara unapunguza distance unasogea karibu then unaacha na kurudi tena mwanzo hapa unampa nafasi kama yeye anaona unamzingua aondoke pia asione kama wewe unakatabia cha ubakaji au kudharau wanawake , lengo hapa ni kupata ruhusa yake na yeye kutokuhisi kama vile unamdharau na kwamba asiweze kuogopa, then unarudisha tena ujinga kama kawaida,
then unampasulia jipu paaah!! like you know i try very hard to behave but i really can't help you are very sexy , then unamuambia do you have time kuna sehemu au kitu ningependa nikuoneshe , hapa akikubali sasa mzee unaanza kujimilikisha mara unampeleka mkono unapitisha kwenye kiuno ,hiyo mpaka ghetto hapa hakuna kuomba tendo wa usiongelee maana ukiomba yeye inabidi kutoa jibu so mwanamke anapata tabu sana kutoa jibu sababu anaogopa judgment wewe inabidi kwenda na beat hapa.
itaendelea.