Hii mimba itakuwa ni Yangu au ilikuwepo tu kama mtego!?

jay311

JF-Expert Member
Oct 21, 2012
2,932
2,711
Habari zenyu wana Jf na mmu kwa ujumla.
Rejea kichwa cha thread hapo juu,niende tu moja kwa moja kwenye mada.

Events hizi zinaanza tar 01 mwez wa 3.

Sasa kuna huyu bidada(last year student, born again and single mother) ambaye tumeingia kwenye mahusiano wiki kadhaa ziliyopita japo tulikuwa marafiki kwa miaka sasa,Wiki iliyopita mapenzi yalinoga kweli, na alikuwa anatarajia kusafiri wiki hii tar 10(ameshasafiri).

Basi kwa kuwa sikuhizi nimekuwa mtu wa dini nilijaribu kuslow down kidgo maana kuna wakati tulishindwa kujizuia.

From march , 3 meet up in my room and one sexual attempt.

Sasa mm nataka niiongelee hio sexual attempt ambayo inaweza kuwa imeleta hiyo mimba.


The girl alikuwa na period tar 22Feb,means kwamba from ta around tar 8 ni siku hatari kwake, mimi nilikutanana naye sikuhiyo hiyo ya tarehe 8 ijumaa. What make me think nina wasiwasi na hiyo mimba? Before we didn't attempt to have sex,nilimuuliza tupo tayari kiakili na kimwili kufanya jambo hili? Couldnt control herself lakini niliweza,before it nilienda maliwatoni kuhakikisha sina precum(emptying bladder and the way),i tried to enter her but i pull out baada ya thrust kama 5 hivi ( muda wa sekunde 20 hivi na wala sikusikia kama nataka kukojoa,just nilichomoa tu).Kwahiyo hatukusex lakini kulikuwa kuna intercouse niliyohakikisha sijamwaga chochote cha hatar ndani yake.Then we quit.

Jana (march 11) kaniambia ana dalili za mimba(cramps na abdominal pain),ndiyo inawezekana kuwa na dalili za mimba.....lakini je itakuwa ya kwangu???
Sasa yupo mkoani,Jibu langu nimemwambia asubiri mpka wiki 2 akose period then akapime..

Msaada tafadhali, je inawezekana akapata mimba bila kumwaga mbegu ndani yake? Welcome critics.

UPDATE: MWANAMKE HAKUWA NA MIMBA, ALITAKA KUJUA TU MSIMAMO WANGU KWAKE, KUWA AKIWA NA MIMBA NITAIKATAA AU LAA.😐
 
Yani ulimpapasa mtoto wa watu ukamuacha na nyege zake..
Inawezekana kabisa ikawa mimba ni ya kwako
Au ulivyompapasa alivyotoka hapo alienda kwa jamaa mwingine kumaliza nyege zake na huko ndio kapata mimba
 
Kwa maelezo ya jamaa huyu mwanamke alivyotoka hapo alienda kwa mshkaji mwingine kukunwa vizuri maana inaonekana mwanamke aliachwa na nyege zake..
Ni bora asingemgusa kabisa


Mkuu sidhani kama alienda tena kwingine,nilimpeleka kwake mwenyewe...labda kama kuna kitu kilitokea kabla yangu mm...ili kumgusa tu kumetia dosari
 
Kwa maelezo ya jamaa huyu mwanamke alivyotoka hapo alienda kwa mshkaji mwingine kukunwa vizuri maana inaonekana mwanamke aliachwa na nyege zake..
Ni bora asingemgusa kabisa
Yeah hapo kuna msela alienda kujishindilia papuchi ya bure.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom