DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,362
- 83,361
Hivi kweli mtu mzima unaweza kupoteza mda kumfatilia mwanaume mwezio heti kamnanilii Fulani .. yaani mitandao ya kijamii Tz bado inawachemsha .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanaume aliyekamilika huwezi anzisha Uzi Kama huuu
[emoji23][emoji23][emoji23]Umejuaje kama wanakesha mtandaoni,kama unawoana basi na wewe umo mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23]sio mimi[emoji23][emoji23][emoji23]tuache kidg mshana tumalizane Na gwajima tutaendelea tu kutumia vizuri social network
Nime edit tayari nilijua niwew mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sio mimi
Mwanaume mzima kufuatilia wanaouatilia video ya G wajima happ pia kuna tatizoHivi kweli mtu mzima unaweza kupoteza mda kumfatilia mwanaume mwezio heti kamnanilii Fulani .. yaani mitandao ya kijamii Tz bado inawachemsha .
Mithali : Mlango 22
6 Mlee mtoto katika njia impasayo,Naye hataiacha, hata atakapokuwa mzee.
We ulikuwa MTANDAONI saa 10 kuwaponda wanaume wenzio...Hivi kweli mtu mzima unaweza kupoteza mda kumfatilia mwanaume mwezio heti kamnanilii Fulani .. yaani mitandao ya kijamii Tz bado inawachemsha .