BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,196
- 14,369
Eti makalio yenye vishimo kama vya dimpo ni makalio fake? Je tofauti ya makalio fake na natural ni ipi?
Yako pia yana vidimpo?Duh hii kali hebu mtuhurumie na maumbile yetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii ni chai kabisaDuh hii kali hebu mtuhurumie na maumbile yetu
Mh na wewe na maswali yako!!!Yako pia yana vidimpo?
Imechacha hii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii ni chai kabisa
HahaaaMh na wewe na maswali yako!!!
Siamini mpaka nithibitishe kwa macho yangu kua kweli ni og.Mbona yangu og. Yana dimpo?
Nitakutumia pichaSiamini mpaka nithibitishe kwa macho yangu kua kweli ni og.
Mke wangu ana kama ya kwako...dimples zake ziko kwa pembeni flaniMbona yangu og. Yana dimpo?
Kweli. Alafu nikaogopa sana.Nahisi umeona Makalio yenye dimpoz kwa Mara ya kwanza😂