Aliona akukoleze kwanza angekwambia mapema ungesepa.Tatizo hakuniambia mapema kama ana mtoto mapenz yamekolea ndyo ananiambia ana mtoto [emoji40][emoji40] why
Kuuliza kwamba kwanini asimuoe aliyemzalisha muulize huyo huyo single motherSingle mother anataka nimuoe kinguvu ananililia kila siku jaman huyo mzazi mwenzake aliyemzalisha Kwann asimuoe
Hahaa basi mkuu kwa huruma yako hiyo hiyo muoe tuuuNi kweli ila sikutaka kumpa maneno makali huwa na huruma sana kwa wanawake thru to ma background
Wewe ulimtamkia unampenda hawezi kuanza tu.Single mother anataka nimuoe kinguvu ananililia kila siku jaman huyo mzazi mwenzake aliyemzalisha Kwann asimuoe
Labda kwa wale wenye maumbo mazuriHivi kumbe inawezekana kuwa na mtu na asigundue kama umeshajifungua mpaka umwambie!?!
Labda kwa wale wenye maumbo mazuri
Wee ulitoka nae wapi hadi inafikia hukoSingle mother anataka nimuoe kinguvu ananililia kila siku jaman huyo mzazi mwenzake aliyemzalisha Kwann asimuoe
Sasa zamu yako na we kazalisheAisee ni kweli ila sikuwazaga kabsa kuoa mwanamke aliyezalishwa kbsa yani [emoji856]