Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hivi Mwanamke anaweza akaamua kumpenda au kuishi na mwanaume ambaye anamzidi kipato hata kama mwanaume huyo hatakuwa mwaminifu kwake kama ndio kwanini. Hivi Mwanaume anaweza akaishi na mwanamke...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Ameniambia Yeye Ni Mke Wa Mtu Lakini Na Chati Nae Mpaka Saa Sita Usiku Kila Siku Akitaka Kulala Anasema Nimpigie Au Anapiga Yeye Anacho Niambia Anataka Kusikia Sauti Yangu Tu Na Nikimwambia Nipo...
1 Reactions
42 Replies
6K Views
Kuna vitu ambavyo mwanaume/mke akifanya unajua hapa tayari nimshampata mfano mtu akitoa namba; akikubali kutolewa out; akiwa anaomba lunch/breakfast (no free gift)...anajiongelesha storry za bwana...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Haya maisha haya huyu bi mkubwa alitokea kunielewa yeye mwenyewe na wala sikutumia nguvu kumpata, Namba aliniomba yeye mwenyewe kwa sababu ya derivery ya kiepe kutoka kibandani kwangu pale...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Kuna mjane mmoja mwenye watoto wawili hapo kisiwani Zenj aliweza kukaa na wanaume wawili bila matatizo yoyote kwa zaidi ya miaka minne. Zaidi aliweza hata kuwafahamisha wanaume hao kuwa wanakula...
1 Reactions
27 Replies
7K Views
Nini shida jaman nimpendaye ananizingua balaa, niko serious kumuoa lakin majanga tuu. anayenipenda hata simzimii kabisa.
3 Reactions
38 Replies
3K Views
Wanawake hawa wa ajabu sana utakuta wanaogopa vitu vidogo sana anaweza akakushtua hadi usingizini kisa kaona mende anapita ukutani Wanaogopa mijusi, nzi, mbu, sisimizi akiona mpaka analia ukadhan...
2 Reactions
53 Replies
5K Views
washikaji yamenikuta...isssue yenyewe ni kwamba nimekuwa na girl friend wangu katika uhusiano mzuri sana kwa miaka miaka, na kweli nilikuwa na imani naye sana kiasi kwamba hata mara moja sikuwahi...
1 Reactions
53 Replies
8K Views
Wana JF naomba ushauri wenu nifanyeje kumsahau mtu niliyempenda sana ila ananicheat? Ninywe dawa gani? Au nichome dawa gani nataka hata nikimuona nimuone kama takataka
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Yaan mtu anaweza kosea namba ndo ukawa mwanzo wamahusiano wengine wanaenda mpaka kufunga ndoa, wengine kwa sababu mnakua mnakutana kutana sehemu ya kula ndo unakua mwanzo wa mahusiano Wengine...
5 Reactions
44 Replies
5K Views
Wakuu kutokana na utafiti niliofanya kwa muda mrefu nimegundua kwamba familia nyingi zilizofanikiwa ni zile zenye damu ya kichaga ndani yake. Uchunguzi huu nimeufanya kwa ngazi ya mtaa mpaka...
19 Reactions
223 Replies
26K Views
Zodwa Wabantu aamua kujinunulia pete ya uchumba na kumpa ki ben 10 chake Ntobiko Linda ili amvalishe. Kama haitoshi, amepanga pia kujilipia mahari ili aolewe rasmi na ki ben 10 chake. Picha zipo...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
1). Usinyanyue sauti mbele ya mumeo kwa sababu yoyote ile. Hiyo ni ishara ya utovu wa heshima. 2). Usifichue udhaifu wa mumeo kwa familia na marafiki zako. Itakurudia. Wewe ni mlinzi wa mumeo...
13 Reactions
73 Replies
5K Views
Habarini MMU Najua wengi wetu hupenda kujua sana ni vipi girlfriend wako au boyfriend wako alivyo kusave kwenye simu,nikimaanisha namba yako ya simu alivyo iandika jina,Wengi hutegemea kukuta...
2 Reactions
104 Replies
16K Views
I am goodlooking professional guy in his early twenties, I am looking for a openminded lady in dsm to have a discreet relationship with them over the weekends with no string attached and no cash...
0 Reactions
1 Replies
939 Views
Ni kweli yametokea. Mwaka 2015. Suzie na Anna ni marafiki toka wakiwa chuo. Wakiwa room mates na baadaye wakaendeleza urafiki hata mtaani. Wakiwa chuo suzie alikuwa na mpenzi wake kwa jina la...
8 Reactions
23 Replies
3K Views
Huwa sikubaliani kabisa na kauli ya kusema jamaa kaiba mke wa mtu,au mtu fulani kaiba mke wa fulani, huwa naona iyo kauli na kauli za aina iyo zinakosewa sana How come mtu mzima na akili zake...
7 Reactions
71 Replies
6K Views
Hello Ladies and Gentlemen I woud like to send my greetings to all beatiful ladies and gentlemen who are single and need a companion. Rules Must speak english Age 22 and more Must be handsome...
4 Reactions
67 Replies
5K Views
Habari zenyu wadau?yaani nina furaha sana kwamba shemeji yenu mpyaa ambaye tuna kama miezi mitatu ana ujauzito lakini kapewa Ex-boyfriend wake..nina furaha sana kwakua karibuni na mm nitaitwa...
0 Reactions
68 Replies
7K Views
Habari ya mda wadau, Huyu dada aliniacha mwaka 2014 tena kwa nyodo mno, alikuwa Dar na mimi nikiwa Dodoma. Niliumia sana maana nilikuwa nampenda, na mwezi huu kapata kazi wilaya moja na mimi...
1 Reactions
63 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…