Ushauri wenu please

5997

JF-Expert Member
Jan 19, 2019
514
1,204
Wana JF naomba ushauri wenu nifanyeje kumsahau mtu niliyempenda sana ila ananicheat?

Ninywe dawa gani?
Au nichome dawa gani nataka hata nikimuona nimuone kama takataka
 
Yaani hapo pagumu, jaribu kutafuta kasoro yake na uiwaze hiyo kila muda, ila sio kitu rahisi.
 
Tunatofautiana sijui kama njia yangu itafanya kwako....najitreat kwa vitu vizuri ambavyo at the end of the day najiambia gal u deserve this huyo mpuuzi hakujua thamani yako so ntaenda sehemu nzuri ntakula vizuri ntanunua nguo mpya,ntajitoa outn,jinunulie ka wine tafuta movies za wiki nzima trust me utamsahau haraka sana
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wana JF naomba ushauri wenu nifanyeje kumsahau mtu niliyempenda sana ila ananicheat?

Ninywe dawa gani?
Au nichome dawa gani nataka hata nikimuona nimuone kama takataka
Pole sana mkuu.kumbuka tumeumbwa wengi duniani ili yatokee mengi ambayo mengine tunajifunza vitu vipya.

Jitahidi sana kuwaza mabaya yake.yaani mfano miguu yake miembamba basi jisemee tu "kwanza miguu yake kama mwanzi ilikuwa inanikera ile,sasa ni nafasi ya kuchagua mwenye guu la bia"

Au unajisemea "kwanza alikuwa anaongea sana kama chiriku na mie nilikuwa sipendi" angalia mapungufu yake na uyatoe kasoro.
Hii njia imenisaidia sana wakati nasoma,nikimpenda mdada nakosa raha najiuliza hivi ana nini hasa ambacho ni special alafu wengine hawana ?...najikuta napotezea nakuwa huru tu na maisha yangu.

MWANAMKE AKIKUCHEAT BASI BILA SHAKA HUMPENDI.ndio humpendi .
Ni wakati wako wa kutafuta unayempenda,huyo aliyekucheat unapata tabu kwa sababu umemzowea tu lakini wala humpendi hivyo ni rahisi kumsahau.

Mungu amekupa chance utafute mwanamke ambae utaendana nae katika maisha yako na siyo huyo dada.tumia nafasi yako hiyo kutulia utafute mke mtarajiwa kwa utulivu.

Katika kila maumivu unayopitia,wajenga mpya tabia

Hiyo ni fursa kwako ya kujenga tabia ya kwamba ukisalitiwa unachukulia pouwaa tu na kuona kawaida.

Ukikaa ukiwa unatamani kuongea pekeyanko wewe jisemee huku ukichekaa "daah hahahhahha eti kanisaliti,mimi nina maisha yangu haya maumivu yatakiwisha tu na nitamsahau,kwanza mtu mwenyewe mchafu ana wanaume wengi"

Chukulia powa kaka
 
Thank you bro👏👏👏👏
God bless you!
 
Tunatofautiana sijui kama njia yangu itafanya kwako....najitreat kwa vitu vizuri ambavyo at the end of the day najiambia gal u deserve this huyo mpuuzi hakujua thamani yako so ntaenda sehemu nzuri ntakula vizuri ntanunua nguo mpya,ntajitoa outn,jinunulie ka wine tafuta movies za wiki nzima trust me utamsahau haraka sana
Asante sana👏👏
 
I like your style to run away from love stress. Raha jipe mwenyewe.

Kabisa ukisubir kupewa utastressika mpk ufe afu jamaa kashavuta mtoto mwingine anajilia vyake hata hajali unaumiaje
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kinachokufanya usimsahau mkuu ni kudhani aliumbwa kwaajili yako kwamba ,"she is your forever"
Ondoa icho akilini...
Pia kila wakati jipe thamani zaidi,kwamba she doesn't deserve you ,you deserve someone better,
Apo itakua rahisi kupiga hatua zaidi mbele,bila kuwa na huzuni ,na bila kumchukia
USHAURI :
Usijepokea ushauri wa wanao kwambia tafuta mwingine upunguze stress..
"muda unaohisi kuwa mpweke zaidi,usijaribu kutafuta mtu au kuwa na mtu karibu...ukizingatia hili utanishukuru baadae"
 
asante kiongozi👏👏👏👏
 
Wana JF naomba ushauri wenu nifanyeje kumsahau mtu niliyempenda sana ila ananicheat?

Ninywe dawa gani?
Au nichome dawa gani nataka hata nikimuona nimuone kama takataka
hapo dawa yake ni moja tuu mkuu kwanza kabisa cool down ichukulie hali ya kawaida pili anza kijenga mawazo kama haya kwanza anakuchukia, hakupendi na huko aliko anamtu amabaye anamridhisha kuliko wewe na wala hata hakukumbuki na hana muda na wewe na huwa anakutukana kila siku na anasmulia mapungufu yako yule aliye nae sasa hivi ndani ya mwezi utakua mtu mwingine kabisa
 
Back
Top Bottom