Mda mwingine mahusiano huanza katika mazingira usiyotegemea kabisa

Artifact Collector

JF-Expert Member
Mar 7, 2019
6,615
10,123
Yaan mtu anaweza kosea namba ndo ukawa mwanzo wamahusiano wengine wanaenda mpaka kufunga ndoa, wengine kwa sababu mnakua mnakutana kutana sehemu ya kula ndo unakua mwanzo wa mahusiano

Wengine wamekutania disco na waeoana na ndoa zao zinadumu, sehemu ambayo ni ngumu kutegemea utapata mke au mume. Na wengine kwenye social media na yamekua mahusiano imara

Kwenye maisha tusipende kuishi Kwa kukariri, hii imepekea watu wengine kukosa wake na waume Kwa kuamin kuna sehemu au mazingira huwez pata Mme/mke kumbe sio kweli
 
Mm nilikutana nae kweny ATM yeye anatoka na mm naingia. Kimasihara Tuu nikamwambia Nisubiri hapo nje. Kweli akasubiri. Nilikuwa nafanya Miamala mingi kidogo. Ya Kulipia bills, kutuma pesa na kutoa pesa. It took me likea a 5 minutes.

Kila nikigeuka nyuma namuona kweli yupo anabonyeza simu yake. Nilipomaliza nikatoka nikamfuata nikamwambia Pole kwa kunisubiri akasema asante. Nikamuuliza unaelekea wapi, akanaiambia naenda sokoni, nikamwambia na mm naweza kuja?? Akacheka akasema sawa twende.

Basi tukaanza mdogo mdogo way to sokoni. Tukafika, akawa ananunua vipodoz, akachagua chagua vimafuta vyakee weee, vilikuwa vya elfu 38, mzee nikaingia mfukoni nikalipia.

Akawa anakataa kataa, hadi muuza duka akawa anatushangaa mbona hatuko organized, maana alikuwa anatuona kama tupo pamoja. Baadae nikamlipia.

Baada ya hapo tukatoka, akasema anataka kwenda nyumbani. Nikamwambia jua kali anaonaje kama tukae sehemu tupate Soft drinks, akakkubali. Tukakaa pahala tukasaga juisi tukawa tunakunywa huku tunapiga story.

Nikahitaji kumfahamu. Akanitajia jina lake, Na mm nikamtajia. Akauliza kama namfahamu, nikamwambia huwa namuona tuu lakini sio kweli, mara nyingi lakin leo nimebahatika kupata muda wako kupngea machache.

Tukapiga story sana. Mida ya kuondoka akalipia kama juisi ya elfu 9 hivi.

Nikaomba namba yake ya simu. Alinikazia mbaya kabisa. Nimelia Kiseng.e lakini holaaaaah.

Dah nikasema hii isue ipo tight. Nikaanza kuwaza Elfu 40 yangu ndo imepotea hivi hivi nimeambulia maneno tuu.

Dem akanikazia mwanzo mwisho. Nikamuuliza vp ungependa kukutana na mm siku nyingine?? Akajibu ndio. Nikamuuliza kivipi sasa na mawasiliano hatuna?

Akasema tutameet tuu kama tulivyomeet leo. Mm nikaona sio kesi ngoja nirudi hom nikaugulie maumivu yangu ya elfu 40.

Nikamuambia naomba mm nikupe namba yangu ya simu, akasema sawa. Nikamuambia maomba simu yako niandike, akagoma kutoa simu.

Daaah nikasema Muhuni leo nimekamatika. Ilabidi niende Pale counter kwa muuza juisi niombe karatasi na peni niandike namba.

Nikafanikiwa nikaandika namba kwenye kikaratasi nikampa, akaweka kwenye mkoba wake.

Baada ya hapo mzee nikawa nasubiria Simu na Msg. Lakini hakuna kituuu. Daaaah ikapita wiki, mara mwezi.

Bwana weeeeeeeeeeeeeeee
Kuna siku nipo kwenye mishes zangu nikaona call nikapokea, akasema ni yeye.moyo ukapiga paaaaaah

Nikasalimiana nae, nikamwambia mm nilishakata tamaa, maana nimesubiri sana. Baada ya hapo akanipa pole sana. Akaniuliza nipo wapi, nikamwambia. Akauliza kama anaweza kuja, nikakubali.

Akaja, Tulafurahi piga story nn. Akaniambia amefurahi kuniona. Anaomba Muda weekend. Nikamwambia sawa.


Weekend tukaenda kaa mbali sana. Piga story kulaaa, kunywaaa. Ilipofika mida fulani uchovu hiviii nikamuuliza kama tunaweza sehemu private tupumzike.

Akasema sawa. Basi mzee nikachel Rum nikapata. Tukaingia. Tukawa tumelala maana tulichoka kukaa kwenye Viti.

Kitu mbaya zaidi, Siku hiyo Dem alikuwa MP.
Dooooooooh, nilijua nilivyokuwa namchukulia kofia ya nywele kwenye pochi yake, nikaona Pads, nikajua hapa shughuli imesha haribika.

Nye.ge zote zikaniisha. Nikajifanya Gentleman kinyama. Nikawa sina hata mpango nae wa kulambana uzazi. Tukawa tunapiga story tu hapa na pale na kufanya machombezo na kupigana Touches za hapa na pale.


Baadae akaniambia, amepata hamu ghafla lakini yupo MP. Akaniuliza kwan ww huna hamu. Nikamjibu ninayo lakini lets doo next while.

Dem alinishangaa sana, akasema angejua kama mm ningekuwa na papara. Lakini laaah.

Nikamuuliza tunalala au tunaondoka, akasema mm naonaje? Nikamwambia tulale. Basi tukalala ile night kama mtu na mama ake mdogo.

Kesho tukaachana kila mtu akaenda zake.

Next week yake mzee mzima nikapewa papa nihangaike nalo. Sugua sana paru. Yule mtoto mtamu sana.


Hadi leo Namkaza kibingwa. Ila yeye ana maisha yake na mm yangu.

Siyakudumisa Nkosi Yezulu
 
Back
Top Bottom