Unataka mafanikio? Nakushauri oa mwanamke wa kichaga

Bonyobonyo

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
226
Reaction score
235
Wakuu kutokana na utafiti niliofanya kwa muda mrefu nimegundua kwamba familia nyingi zilizofanikiwa ni zile zenye damu ya kichaga ndani yake.

Uchunguzi huu nimeufanya kwa ngazi ya mtaa mpaka kitaifa.

Mosi wachaga ni wachapakazi; mwanamke wa kichaga ni hard worker siku zote. Wengi mtakubaliana nami
wana mipango mingi ya kimanufaa kwa sasa na baadaye.

Pili wachaga ni wasomi na hii iko wazi kabisa. Wanawake wa kichaga wengi wao ni wasomi ni inachangizwa na wingi wa shule katika mkoa wao pia mwamko mkubwa wa wazazi na wanajamii nzima juu ya umuhimu wa elimu.

Wachaga wengi ni warembo hii ni sababu ya ziada itayokuvutia juu ya mabinti hawa wa kutoka chini ya mlima mrefu Afrika.
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu watakuja kubisha hapa,mimi Mnyakyusa wa Mwakaleli kabisa pale Lugombo,baba na mama siku naenda kuanza chuo walinambia nisijaribu kuoa mchaga,LAKINI KATIKA UMRI WANGU HUU NIMEGUNDUA WACHAGA NI WATU SMART SANA HASA KWENYE KUTAFUTA HELA....Naishi Goba hapa mtaani Mnyakyusa peke yangu,wachaga wameshusha mahekalu hapa....aisee kina Minja ni hatari.
 
Post yako imepata watazamaji 1k ndani ya dakika 20....

Unajua kwann??? Maisha hayana Fundi yaan mwalimu , maisha hayaangali umetoka wapi ,upo nani, Maisha ni Mapambano yako wee mwenyewe na mwenzako bila kujalisha ukabila.

Ili mradi ukioa mwanamke makini atakayezipa Pumzi Juhudi zako, asikupe stress za maisha, akakupa furaha, nasababu na nia ya kufanya mabadiliko ya kiuchumi ndani ya Familia..UTAPATA MAFANIKIO.

Wapo walooa wachaga lkn mpaka leo ni Empty Set!! .
 
Last edited:

mkuu ni hatari hawa watu mi nimewekeza huko
 
Post yako imepata watazamaji 1k ndani ya dakika 20....

Unajua kwann??? Maisha hayana Fundi yaan mwalimu , maisha hayaangali umetoka wapi ,upo nani, Maisha ni Mapambano yako wee mwenyewe na mwenzako bila kujalisha ukabila.

Ili mradi ukioa mwanamke makini atakayezipa Pumzi Juhudi zako, asikupe stress za maisha, akakupa furaha, nasababu na nia ya kufanya mabadiliko ya kiuchumi ndani ya Familia..UTAPATA MAFANIKIO.

Wapo walooa wachaga lkn mpaka leo ni Empty Set!! .
nidai buku kwa ulichoandika[emoji109]
 
wachaga wa wapi sasa wanafaa kuoa maana nasikia wapo tofauti,

wamachame japo wana skendo hio lakin si kweli hawa ni so smart educated waaminifu sana mkuu

kuna walevi sana

kuna wanao ua waume zao

kuna wanaopenda nanii kuliko kazi

naomba muongozo chief...
 
Me n mchaga mkuu kwa hyo tunajuana vzr. Na wanakuwa wema sana na washaur wazr sana tatzo pale tu mtakapopata maendeleo hapo ndio ujiandae. Fanya taft mkuu kuhusu wamachame utaleta mrejesho.
naomba niseme sio wote mkuu
 
Post yako imepata watazamaji 1k ndani ya dakika 20....

Unajua kwann??? Maisha hayana Fundi yaan mwalimu , maisha hayaangali umetoka wapi ,upo nani, Maisha ni Mapambano yako wee mwenyewe na mwenzako bila kujalisha ukabila.

Ili mradi ukioa mwanamke makini atakayezipa Pumzi Juhudi zako, asikupe stress za maisha, akakupa furaha, nasababu na nia ya kufanya mabadiliko ya kiuchumi ndani ya Familia..UTAPATA MAFANIKIO.

Wapo walooa wachaga lkn mpaka leo ni Empty Set!! .
mkuu nimezungumzia katika hali halisi nilioiona mimi mwenyew nikiwa shuhuda believ mkuu hao wasiofanikiwa ni wachache sana ukilingnisha na wengine wengi niliojionea
 
naomba niseme sio wote mkuu
N kwel ila weng wao mkuu na tatzo lipo kwa wanawake ila wanaume hamn shda. Na tatzo jngne kama kwel unae mchaga kwenye masuala ya mapnz co romantc. Hawana mda wa kubembeleza na kama anaomba umnunul ktu mf vch nk. Haombi anakwambia ntumie vch ya buku mbl au ukrud nletee mafuta ya nywele nk
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom