Ulishawahi kuta Mpenzi wako Kakusave Jina baya kwenye Simu yake?

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,662
Habarini MMU

Najua wengi wetu hupenda kujua sana ni vipi girlfriend wako au boyfriend wako alivyo kusave kwenye simu,nikimaanisha namba yako ya simu alivyo iandika jina,Wengi hutegemea kukuta wamesaviwa majina kama Baby,honey,my love, chocolate na mengine kama hayo

Je ushawahi kukuta girlfriend/boyfriend wako amekusave jina tofauti kwenye simu yake? Alikusave nani? Tutajie hilo jina

Mimi nilishawahi kuta amenisave MJOMBA KYELA wakati mimi ninaishi Songea nilipo muliza sababh ya kunisave hivyo akabaki anajiumauma tu!
 
Back
Top Bottom