Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jamani hii kitu inanitatiza, mwanaume kupenda makalio, matiti na lips, macho au kusema umbo la kike ni kitu ambacho kina eleweka. Maana kuna vitu vingi unaweza kupata entertainment. Jamani...
5 Reactions
58 Replies
15K Views
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana, Kama kichwa cha habari kinavyo someka hapo juu, Nilikuwa nafanya kazi katika ofisi fulani hapa town lakini nilikuja kusimamishwa kazi kwa siku moja tena...
2 Reactions
170 Replies
14K Views
Kwa mara ya kwanza,tangu nijiunge na jf leo ndo nimeweza kuandika kupitia engo hii maana mm niko very much interested na ukurasa wa siasa na habar ila huku uwongo mbaya. Naomba mnikarbishe...
2 Reactions
87 Replies
18K Views
Nadhani sasa lile wazo langu la Kuhama hii Wilaya Kimakazi sasa litakuwa limepata Msukumo mkubwa kwani sitaki niwe sehemu ya Aibu hii kabisa. Ni kwamba pamoja na Wao kujifanya ndiyo Watoto...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
James ni miongoni mwa watu ambao nimewahi kuwaona wakimiliki mademu wakali.. huenda imechangiwa na career yake(Jamaa ana Masters in Medicine).. kwa sasa Jamaa anamiliki mtoto mzuri katika umri wa...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Unakuajee wanaJF Kwa kwel nimekuwa nikiambiwa na wazee wangu kwamba ukipata Mwanamke wa kuoa mpeleke kwa Mama yako naye mama yangu ataita wanawake wenzake basi watakwambia kwamba huyo binti n...
2 Reactions
57 Replies
5K Views
Sisi wanaume tumejaa tamaa sana, hasa za ngono kwa wanawake tofauti. Kuna kamchepuko, nina endelea nacho, hapa nimekaa natafakari namna ya kuachana naye, hana tatizo lolote la kumuacha, lakini...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
Amani iwe nanyi wapendwa, Husika na kichwa hapo juu, Mimi kama kijana mwenzenu kwanza huwa nina biashara zangu za hapa na pale ambazo zinaenda tu fresh bila shida. Sasa shida ipo imekuja ndugu...
0 Reactions
101 Replies
8K Views
Habarini Wakuu. Naomba tuianze Wikiendi kwa namna hii. Maisha yalibadilika sana, kila mara nilikuwa mtu wa kukaa ndani kama mwali aliyetolewa mahari ya kisukuma. Wapi niende mimi Joka jeusi...
70 Reactions
333 Replies
28K Views
Nakupenda sana tena hakuna kifani nashukuru kuwa upo na mimi tokea mpweke mpaka sasa umenipa matumaini . Naishi kwa furaha na kwa upendo kisa unavyonipaga moyo unavyonipaga mawazo yakutokata...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Wanaume now days wanalalamika sana na kutushukia wanawake kupenda pesa na kutamani vitu vizuri, cha kushangaza hata waliooa hawawaamini wake zao, nachojiuliza hivi tunakwenda wapi kizazi hochi na...
3 Reactions
100 Replies
7K Views
Dini imekuwa kama biashara kubwa siku hizi, lakini zaidi ya biashara udanganyifu, uongo, utapeli na ulozi vimejumuishwa humo na waathirika wakubwa wakiwa ni mabinti na akina mama wenye kutafuta...
8 Reactions
71 Replies
53K Views
Nakumbuka tuliachana alipogundua kuwa yale malengo niliyomuahidi kabla mzee Magu hajaingia madarakani hayatatimia Maana of course wahitimu wengi tumejaa mtaani huku wengi wakiwa wamekata tamaa ya...
53 Reactions
237 Replies
14K Views
Jamaa anamlaumu Demu wake amemtegeshe Mimba kwa kigezo aliuliza kama amwage ndani au nje demu akachagua ndani... Demu anajitetea wakati wa tendo asiaminiwe sababu hakua kwenye nafasi ya kufanya...
3 Reactions
46 Replies
4K Views
Hata kama una uwezo wako mkubwa wa kifedha, ukipenda sana kutongoza wasichana wadogo na wenye maisha duni ambao kwao maskini sana ipo siku watakulia kete, lazima kila kukicha utakuwa unasomewa...
11 Reactions
42 Replies
4K Views
Wakuu salama...? Naomba kutoa dukuduku langu, kwa kipindi cha miezi 6 nimekaa hapa mjini nimegundua tatizo moja kubwa sana la afya ya kinywa hususani kwa dada zetu. Yaani unakuta mrembo yupo...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Thread closed
3 Reactions
204 Replies
14K Views
Mumewake Bahati Bukuku alikuwa na hawara ambaye naye ana mume akitesa naye kwa rahazao na kusahau kabisa ndoa yake. Mwanamke huyo wa nje alionyesha dharauiliyokithiri dhidi ya Bahati Bukuku...
0 Reactions
10 Replies
17K Views
Naomba niseme tu wazi bila kumung'unya maneno...TANZANIA KUNA UTUMWA TUMEUHALALISHA KWA JINA LA (WAFANYAKAZI WA NDANI/WADADA WA NYUMBANI/AU DADA WA KAZI ZA NYUMBANI) Yaani wengi katika familia...
9 Reactions
51 Replies
4K Views
Juzi Shemeji yangu kaniomba nimpeleke mpaka kwake nlivyofika kwake akanikaribisha ndani wala sikukaa nikaondoka na akaniambia nisimwambie jamaa kama alinipeleka kwake, Jana kanikuta kwene mambo...
7 Reactions
148 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…