Wajue wanawake matahira

Wajue wanawake matahira

Fursakibao

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2017
Posts
6,996
Reaction score
11,887
Habari za wakatii huu wadau.
Nimeipata sehemwu nikaona sio mbaya nijashea nanyi mkupata kujua wanawake walivyo watu wa ajabu....


1. Anaevaa mini-skirt halafu akikaa mahali anahangaika kujiziba magoti huyo nae ni.....Taahira!
2. Anaetoa mimba kisha analala na midoli huyo nae ni....Taahira!
3. Anaedate na mume wa m2 miaka nenda rudi, na kuwakataa wanaotaka kumuoa huyo nae ni..........Taahira!
4. Anaeweka nywele bandia, kucha bandia,kope bandia akiambiwa amependeza anasema Ahsante, huyo nae ni......Taahira!
5. Mwanamke ambae hamilik hata kitanda lakin anataka mwanaume mwenye gari huyo nae ni....Taahira!
6. Atakaesoma post hii kisha akatoa mapovu badala ya kubadilika wakati anaelimishwa huyo nae ni......Taahira.

Nawakilisha

God save us
 
Kwa jinsi ulivyo malizia hapo chini naona umejikinga na puvu lakini wangoje waje tuone maoni yao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom