LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,727
- 13,466
kasi ya kuvunjika kwa ndoa imekuwa kubwa mno hasa hawa vijana wetu wanaoingia kwenye ndoa wakiwa na umri mdogo wengi ni wale walio chini ya umri wa miaka 30
nimeshuhudia ndoa zaidi ya 9 zilizovunjika na zote nilitoa mchango tena michango ina masharti kabisa kiwango cha mwisho ni 50k wengine 100k, lakini vijana hawa dam ina chemka
wanakimbilia ndoa wakati hawajajiandaa, wivu, umalaya, michepuko vijana hasa wa kike wamekuwa sio wavumilivu kama mama zetu walivyokuwa kitu kidogo mtu anarudi kwa wazazi wake na ndoa inakufa, hizo ndizo tabia zinazoongoza kwa kusambaratisha ndoa zao, ni heri watu wafunge ndoa za kimya kimya kama ndugu zetu waislam hawana shida na mtu, mtu anachukua jiko lake bila garama wala kuchoma pesa za watu
lakini sisi wengine tumekuwa tunapenda showoff nyingi, tunachoma pesa za watu alafu ndoa hazidumu, kumbuka hizo pesa mwingine alijinyima then akakupa wewe alafu mnaleta utani na ndoa
toa mchango wako, kiakili msome mtu kwanza niheri uonekane gaidi tu vijana wanachezea hela zetu sana