Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

kila siku binadamu tunaishi kwa mipango, malengo na matamanio, shauku na Maono juu ya maisha yetu.. Hebu leo toa ya moyoni Kwa kuanza na maneno haya "Ee Mungu...... Laiti ninge...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Umemtoa dem bar alafu umemleta Kwako umemnyandua vizuuri unalala. kesho yake kabla ujaenda job unaamka unakuta ameng'arisha nyumba yote na akakupikia Chai ya nguvu kisha anadai anaomba muongee...
3 Reactions
25 Replies
4K Views
Habar zenu wana jf hasa wadau wa hili jukwaa pendwa. Kuna mada hapo juu naomba tuidiscuss vizuri. Kuna watu wanapitia magumu sana hasa kwenye suala la mapenzi/mahusiano.Unakuta mtu toka aanze...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Wana MMU kwa yule ambaye alishawai mfumania mke au dem wake wakigegedana au wakiwa katika poz za mahaba ulijisikiaje?? Maana leo nimeona txt tu tumbo limetetemeka sijui itakuaje nimfuma anagong’wa
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wadau nina taarifa za mshkaj mmoja hv mtaani anapiga mchepuko wa baba yake mzazi na inavyosemekana Baba yake amegundua kwhyo anafikiria namna ta kumustopisha kijana. Je wewe unaweza kupiga mzgo wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Japo usawa mgumu ila ukivaa shanga narudi geto kufuata hela kwa ajili yako. Akili za usiku.
4 Reactions
83 Replies
17K Views
Hivi mwanamme siku hizi kutopewa utamu mpaka ndoa kunaongeza motisha ya kusubiri mpaka ndoa, je ataendelea kupambana mpaka ndoa au atatafuta mwingine atayempa wakati mipango inaendelea ya ndoa...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Kuanzia tarehe 1 mwez wa sita Tanzania itaacha rasmi matumizi ya mifuko isiyooza(mifuko ya plastic) ili kulinda mazingira. Napata ukakasi kidogo vp kuhusu condom zitaendelea kuwepo au nazo...
4 Reactions
1 Replies
2K Views
Hivi nyie wadada mnahisi wanaume tuna hela muda wote kama machine za ATM? Demu unakutana nae unamtongoza anakubali Hujawahi mgegeda,hujawahi mpiga hata kiss ndani ya siku 2 tangu akukubalie...
11 Reactions
30 Replies
2K Views
Hello wanaJF, baada ya pitapita zangu hapa JF nimeona kuna ukingano wa mawazo, baadhi ya WANAWAKE wanaona ni sawa kwao kuolewa na WANAUME wenye uwezo mkubwa wa kifedha au waliotoka kwenye familia...
1 Reactions
96 Replies
9K Views
Nilimtongoza mwanamke akanikubalia. Siku moja nikamuita kwangu tukapiga story muda flani halafu badae nikamuomba mzigo kistaarabu ila akagoma nikaona isiwe kesi nikamuacha. Saa sita usiku...
7 Reactions
221 Replies
23K Views
Habari zenu. Natafuta mwanaume ambae endapo atakubaliana na hali yangu kimaumbile aweze kuwa Mchumba wangu na baadae awe Mume wangu. Mimi ni mwanamke kamili isipokuwa ni She-Male yaani nina...
17 Reactions
169 Replies
29K Views
Ni ule msimu wa hapa Jamii Forums... Msimu wa kuandika mada nyingi za kuwakandia wanawake kwenye mahusiano na hata ndoa Wanawake wenye tafakuri ndogo wanaweza kukasirika na kuona kuwa kwanini wao...
34 Reactions
85 Replies
8K Views
Katika harakati za kutokea baadh ya wanawake kuna changamoto kubwa ambayo hua nakutana nayo hasa nnapotongoza mwanamke yoyte nlobahatika kuongea nao Mimi n mfanyabiashara na katika biashara yangu...
2 Reactions
75 Replies
6K Views
Habari wadau , Nina mpango wa kutembelea ngorongoro lakini sina taarifa za kutosha kuhusu gharama kwa wazawa maana nyingi naona ni za watalii wa nje. Hivyo members wenye info mnaweza tiririka...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Wanawake wa leo mna nini...? Mwanaume nikutongoze kwa mateso.. Nikutoe out...ule kuku mzima na chips sahani mbili, vinywaji vya bei ghali.. Nilipie chumba... Wakati nazungusha kiuno unaendelea...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Enzi za zamani kama mdada alikuwa anakuzingua sana mgumu kutoa basi unasubiri akizaa tu. Yaani akizaa utamkuta ananyonyesha unajifanya kupiga story kumbe unachungulia manyonyo yake. halafu...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
A Woman With A Beautiful Body[emoji177][emoji126] Is Good For A Night, no doubt.[emoji362][emoji992][emoji437][emoji362][emoji992] But A Woman With A Beautiful Mind is Good 4 A...
4 Reactions
36 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…