mr chakubanga
Senior Member
- Oct 16, 2017
- 124
- 268
Habari wadau ,
Nina mpango wa kutembelea ngorongoro lakini sina taarifa za kutosha kuhusu gharama kwa wazawa maana nyingi naona ni za watalii wa nje. Hivyo members wenye info mnaweza tiririka pamoja na suggestion ya bajeti kwa mtu mmoja.
Wasalaam .