ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,812
- 60,674
Nawasikia Mara nyingi wanawake wanasimuliana bila haya Wala uwoga kuhusu matukio na tecnique za Mambo ya kudanga.unakuta anawahadithia mbinu zote za kudanga.sasa Cha ajabu mpaka wanawake niliokuwa nawaheshimu na wenyewe wanajua kudanga na wanaunga mkono kudanga.ila.mwisho wa Siku naona mwanamke anatafuta Kuwa mjanja kwa mjinga so ukiona amekudanga jua amekudharau na kukuona fampa..sisi tusiochunika ndio tunaonekana wajanja kwamba tunajua mbinu zao zote.kudanga ndo habari ya mjini ya Hawa wanawake na ndo maana wanavaa na kupendeza Sana ili wapate madanga mazito ya kiofisa shauri yako Kama huelewi.