Nimeishi nae uchumba miaka 5 ananiambia ikifika mwakani nisipomuoa nisimlaumu

MUBIKU

JF-Expert Member
Oct 24, 2014
276
376
Wadau Leo nimetoka kuchat na shemeji yenu ambae tumedumu miaka 5 ya uchumba.

Kila mru akiishi geto lake leo ktk chatting zetu , mtoto imebidi afunguke amechoka kukaa uchumba kwa muda mrefuu anasema nisipomuoa mwakani nisimlaumu.

Mbali na changamoto za kimaisha ila kikubwa analalamika sisaidii ndugu zake.

Wakuu mliowahi kupitia changamoto kama yangu naomba mnijuze hatua mlizochukua
 
Wadau Leo nimetoka kuchat na shemej yenu, ambae tumedumu maika 5 ya uchumba, kila MTU akiishi geto lake, Leo ktk chatting zetu , mtoto imebid afunguke, amechoka kukaa uchumba kwa muda mrefuu anasema nisipo muoa mwakan nisimlaumu, mbali na changamoto za kimaisha ila kikubwa analalamika , sisaidii ndgu zake , wakuu mliowahi kupitia chamgamoto kama yangu naomba mnijuze hatua mlizo chukua
Shukuru sana Mungu kua binti kafunguka, angesonga mbele na ungeshtuka when its too late then ungekuja na uzi kua amekusaliti.
 
Hahaha kwa hiyo waishi miaka mingapi hivyo
Kama ni inshu ya kuona, waone hata leo hii.
Ila kusema et, usiponioa mwaka huu, mwaka kesho utanikosa huo ni uongo.

Ndoa kwasasa ni adhimu, sio kama kuuza smart phone mtaani.

Huyo manzi anapima upepo wa jamaa tu hakuna kitu kingine.

Kuna jamaa yangu nae alikuwa katika mahusino kwa kipindi kirefu tu kama mleta uzi,
Ende of the day manzi akamuambi jamaa..
Wazazi wangu wamenipatia mchumba, soon nitakwenda kuolewa.
Jamaa akamuambia wewe olewa tu.. Hadi sasa ni miaka 2 imepita manzi yupo mtaani hakuna ndoa wala uchumba.
 
Mkuu unaogopa kusalitiwa , mm siofii wala sijali kbsa hili swala, kama Eva alimsaliti Adam Mimi ni nan?
Sipendi kusalitiwa. Ila kama wewe hio sio issue, then utakua salama mkuu. Wanaume wengi wanaogopa hio kitu. Basi, wewe endelea kumsubirisha, mpaka utakapokua tayari i.e. kama atakua anakusubiri bado.
 
Back
Top Bottom