Wanaume na hali hii ngumu

Wanaume na hali hii ngumu

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,126
Reaction score
5,762
Zamani wadau wanaume walikuwa wanahonga kabisa na wala hawana hiyana ya kuongopea bia kwa sana wanawake zao wana mambo mengi kibao ila sasa wanaume wanahonga ila kwa shida sana.

Labda aruke ukuta ndio wapewe nyingi kidogo.

Hali ni ngumu sijui wake wadogo na magirlfriends wanasaidiwaje?

Hata mahotelini hakuna tipu sana wala nini.

Kila mtu anakeep chenchi na kwa usawa huu kutaisha nyumba ndogo na mtatulia kabisa.

Kuongea kwa nyodo hakuna .

Kisa mmefulia kabisa .
 
Kuruka ukuta ndo kufanyeje?? Na huo ukuta wa course ngapi??
 
Juzi ulikuja na Uzi wa kumpamba na kumsufia, Jana kavuta za mwisho wa mwezi hakukutoa. Leo umekuja na Uzi wa kulalamika kuwa wanaume wagumu kuhonga, pole sana kwa magumu unayopitia.
 
Juzi ulikuja na Uzi wa kumpamba na kumsufia, Jana kavuta za mwisho wa mwezi hakukutoa. Leo umekuja na Uzi wa kulalamika kuwa wanaume wagumu kuhonga, pole sana kwa magumu unayopitia.
Mupenzi wangu hayupo Arusha Mujini mwaya yupo mbali sana.
 
Na mvua hizi nani akupe hela wakati umeleta ugali mwenyewe bila kuitwa
 
Una stress za kimapenzi kwa kiwango kikubwa mno,tafuta wataalamu wakupe msaada uondokane na hilo tatizo.
 
Jamaa mgumu huyo kaandikiwa uzi lakini hajahonga

Anataka upande wa pili ndio ahonge
 
Na bado mtalalamika sana na sisi hatulegezi kamba ya buti... Tushajitambua kwamba tunaibiwa....
 
Back
Top Bottom