Huu ni ufahari au ulimbukeni?

Huu ni ufahari au ulimbukeni?

mchonjoya

Member
Joined
Aug 17, 2016
Posts
81
Reaction score
200
Habari wana jamvi!

Nije kwenye mada husika.Mwanaume ana mke halali wa ndoa, ana kimada kakipangia chumba,ana mchepuko wa kudumu,ana girlfriend lakini bado anazidi kutogoza na kuwatamani wanawake wengine.

Je, kufanya hivyo ni ufahari,ukidume sana au nini hasa?

Inasemakana mwanamke asipotongozwa walau mara tatu kwa Siku hujiona ana mikosi, je ndo hali inayotupelekea wanaume kuwatongoza ili kufikia lengo lao la kutongozwa kila siku?

Na kwanini mwanamke ukimuambia ukweli hakuamini,badala yake kuamini pindi akidanganywa?

Huu usemi unasema wanawake 10 sawa na mwanaume mmoja umetokana na nin na kigezo gani kimetumika kutoa tathmini hiyo? Kama hivyo ndivyo haki sawa inatoka wapi ikiwa ke10 sawa me1?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom