Leo ndo weekend inaanza na kama kawaida viwanja kwa jiji letu la dar ni vingi ila kuna kile uwezi kutamani kuacha kwenda na hela yako unayotumia eneo hilo unaona kabisa haijapotea....naomba tuambiane ni kiwanja kipi cha kwenda maana weekend naona ninachohitaji kwa leo ni sehemu nitakunywa kula na kucheza mziki, kucheza mziki ndio zaidi na seheme yenye ke za kutosha ndo la muhimu zaidi.
Happy weekend
Happy weekend