Habarini!! I hope mko poa.
Nina swali haswa kwa wanaume, ila kina mama/dada pia mnaweza changia.
Humu kuna threads kibao waliojifunza mapenzi/kujamiiana kwa wadada wa kazi nyumbani, wengine...
Kuna misemo mingi sana ambayo wahenga walituachia, laiti tungeifanyia kazi maisha yangekuwa poa kabisa aisee. Ila binadamu wengine wana masikio yaliyozibwa pamba, macho yana upofu na mwishowe ni...
1. Sio Mahusiano yote huishia kwenye Ndoa. Baadhi ya Mahusiano yapo kwa sababu fulani, mengine ni ya msimu na baadhi hudumu mpaka Ndoa. Hivyo, kama mahusiano yako yamefeli, usisikitike, kulikuwa...
Siku hizi maisha yamebadilika yani kila kona wadada kibao. Unakuta wengine mpaka wanasubiri au wanavunja huusiano wa watu ili wapate wao.tena wakisikia unavyomsifia mwanamme wako hapo ndio umeumia...
1. Umempata mwenza anaekidhi vigezo vyako vyovyote vile.
2. Unampenda kwa dhati mwenza wako
3. Una kipato cha kukuwezesha kulea familia
4. Moyoni kwa dhati kabisa unahisi ni wakati muafaka kuoa...
Wadau, naona kama kuna watu wanapotosha kwa makusudi kwa faida zao.
Mtu anaweza kuwa anawahi kufika kileleni lakini ana nguvu za kiume.
Na kuna mtu anaweza kuwa hawahi kufika kileleni lkn hana...
Zamani ilikuwa ukisikia Mwaume harakati zake zote ni za kiume...
Ukikua tu unajua mimi habari zangu nI, KILIMO, KUWINDA, KUCHUNGA MIFUNGO, KUPAMBANA...
Yaani zana ambazo ukitembea hukosi mkononi...
Katika maisha tutafuteni utulivu wa kiroho tutenge muda wa kupata lubrication katika ubongo tupate faraja walahu kwa kufanya mambo mazuri.lubrication Ni upendo
Kuna wanawake wanyenyekevu jaman hadi raha hata kucheat unawaza mara100 unaona kama humfanyii haki kbsa.
Leo bwana nmegombana sana na bibie me ndio mwenye kosa sema kujiona nunda nkaleta ununda...
Wakuu habari?
Leo kwny gari moja hv kulianzishwa mjadala lkn aliyeanzsha nahs aliona mazingira yanaruhusu maan kiukwel mazimgira ya safari yaliruhusu umri wa wasafiri sasa kama utani tu jamaa...
Na stress za biashara mno na wife ni mtu wa kelele always so nakosa faraja
Nahitaj compan(sio ya kimapenz NO) ya story,kunywa(ingawa pombe situmii but we ruksa),kula
But kikubwa uwe mcheshi ili...
Wanaume wengi "wa kiume" wanawaogopa wanawake wenye akili kuwazidi au waliowazidi kipato.
Ndo maana kila siku unaskia wanaume wanalalama kwamba mwanamke akikuzidi elimu au kipato anakua jeuri...
1: Usioe kwa sababu umechoka kula kwa mama lishe>>Mke sio mpishi kama umechoka kula kwa mama lishe jifunze kupika.
2: Usioe kwa sababu umechoka kufua na kupika >>Mke sio housemaid, kama umechoka...
KWENYE benchi la ufundi la Simba kuna mtu mmoja raia wa Tunisia anayeitwa Adel Zrane. Huyu ni mtaalamu wa mazoezi ya viungo na kuweka fiti mwili.
Ana leseni ya juu ya ukocha kwenye eneo hilo...
Jamani napumzika kisa nimekuwa naandika post kama nimeajiriwa humu na comment kama na pewa posho shule yenyewe masomo magumu.
So najipa break nisome kwanza shule ningumu kudeal nayo na...
Kuna style nyingi za kukutana kimwili kwa binadamu, lakini asilimia 80 ya style anazotumia binadamu amecopy na kujipestia.
Moja ya style alizocopy na kujipestia, ni hii ambayo ni maarufu kuliko...