Na swali kwa wanaume

Na swali kwa wanaume

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,126
Reaction score
5,760
Jambazi kaingia ndani yanyumba kakosa alichotaka akakuamuru baba wanyumba nani auwawe .
Kimada (house girl) mtoto wako au mkeo yupi utamuokoa?
Mtuambie??
 
kama ndo mimi ntamwambia amuue mbwa kama hamna mbwa akaue kuku kama hamna kuku najua panya hawezi kosa ndani ya nyumba kama akikosa panya...afu we katoto hakuna jambazi mpuuzi wa namna hii jambazi anadili na pesa tu.

mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Hili swali la kizushi so linahitaji majibu ya kizushi pia
 
Jambazi kaingia ndani yanyumba kakosa alichotaka akakuamuru baba wanyumba nani auwawe .
Kimada (house girl) mtoto wako au mkeo yupi utamuokoa?
Mtuambie??
Nitapambana kwanza, then kama nitashindwa basi nitajichagua mwenyewe and let mke wangu, mtoto na house girl wa hai
 
kama ndo mimi ntamwambia amuue mbwa kama hamna mbwa akaue kuku kama hamna kuku najua panya hawezi kosa ndani ya nyumba kama akikosa panya...afu we katoto hakuna jambazi mpuuzi wa namna hii jambazi anadili na pesa tu.

mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Sasa ndio huyu jambazi kasema chagua mmoja tu tumkill
 
Back
Top Bottom