Special kwa Wakinadada: Jifunze jinsi ya kuwakwepa wakware

Chrismoris

JF-Expert Member
Oct 27, 2017
13,550
16,631
DEAR LADIES.... Kama umechoshwa na text za majamaa huko inbox/ pm / dm.

Kila ukijitahd kuwakataza Hawakuelewi Ukimblock huyu mwingine anakuja Kabla hujaanza kuja kutuambia huku basi I have a tips for You. Naamini itakusaidia sana.

1. Ingia room kwako
2. Vua Wigi,Toa Weave,Toa na kope bandia
3. Ingia Bafuni
4. Safisha sura kwa maji, jikaushe vizuri kwa Taulo..
5. Chukua simu
6. Piga picha
7. Usitumie app yoyote ku edit..
8. Upload picha yako kwenye social networks zako.

9. HAKUNA ATAKAYEKUSUMBUA TENA LABDA UWE KATI YA WALE WACHACHE WENYE UZURI USIOHITAJI BACK UP.
 
Weweeee watongozaji wa online ni watu waliojilipua, yani ni wazee wa kubet wanajua kabisa mkeka utachanika au utatiki, sura tu hajui inavofanana na anaomba mzigo unadhani sura ya mjomba ndio itamtisha?
Naweza kuwafananisha na panya, yani wao ilmradi vitobo tu!!! wanaingia hayo mengine mbwembwe.....
 
Kuna watu hawachagui

Ilimradi awe mwanamke ataliwa tu tena kiroho safi mbona.

Katika harakati zangu za online, sijawahi kum- disappoint ke ilimradi tumeshakutana haina jinsi tena.
Hata awe na sura ya baba yake.
DEAR LADIES.... Kama umechoshwa na text za majamaa huko inbox/ pm / dm.

Kila ukijitahd kuwakataza Hawakuelewi Ukimblock huyu mwingine anakuja Kabla hujaanza kuja kutuambia huku basi I have a tips for You. Naamini itakusaidia sana.

1. Ingia room kwako
2. Vua Wigi,Toa Weave,Toa na kope bandia
3. Ingia Bafuni
4. Safisha sura kwa maji, jikaushe vizuri kwa Taulo..
5. Chukua simu
6. Piga picha
7. Usitumie app yoyote ku edit..
8. Upload picha yako kwenye social networks zako.

9. HAKUNA ATAKAYEKUSUMBUA TENA LABDA UWE KATI YA WALE WACHACHE WENYE UZURI USIOHITAJI BACK UP.
 
Binamu.....
Weweeee watongozaji wa online ni watu waliojilipua, yani ni wazee wa kubet wanajua kabisa mkeka utachanika au utatiki, sura tu hajui inavofanana na anaomba mzigo unadhani sura ya mjomba ndio itamtisha?
Naweza kuwafananisha na panya, yani wao ilmradi vitobo tu!!! wanaingia hayo mengine mbwembwe.....
 
Weweeee watongozaji wa online ni watu waliojilipua, yani ni wazee wa kubet wanajua kabisa mkeka utachanika au utatiki, sura tu hajui inavofanana na anaomba mzigo unadhani sura ya mjomba ndio itamtisha?
Naweza kuwafananisha na panya, yani wao ilmradi vitobo tu!!! wanaingia hayo mengine mbwembwe.....
🤣🤣🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom