Huu ujasiri nimeupenda bure

Huu ujasiri nimeupenda bure

Madima

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2019
Posts
351
Reaction score
301
Jamaa yangu mmoja kaopoa mrembo bonanza la shika ndika wakaanza kuwasiliana taratibu mambo yakakolea akawa ananipa updates kwamba mrembo anamtaka jamaa aende kwako apafahamu jamaa akawa anasita siku moja akajitosa akaenda akaspend the whole day jioni akarudi finally akashawishiwa kwamba sio mbaya akalala huko siku moja moja jamaa akawa anasita na hata mimi nikawa namwambia sio salama sababu humjui vizur anachofanya na maisha yake kwa ujumla. Kumbe jamaa kabembelezwa kakubali akawa anaenda kulala siku chache.

Siku hiyo kajiachia mara mlango unagongwa mishale ya saa saba hv usiku demu kaamka haraka jamaa anashangaa tu haelewi. Demu ndo anamwambia ni jamaa mwanajeshi ndo kampangia room so kaja ghafla jamaa ikabidi amwambie demu asubiri avae kwanza ndo afungue, alipomaliza akamwambia tayari fungua mlango demu akawa haelewi kwann jamaa anachukulia kirahisi jambo kubwa hv lakini ikabidi akubali tu kiaina ile kufungua tu jamaa ametanguliza sura alimvaa kwa ngumi moja heavy mpaka chini mshakaji ndo akapata mwanya nduki.

Anakuja kusema juzi nikamwambia una bahati zaidi ya Pierre Liquid
 
Pmj sana mkuu sihitaji lunch tena

Hii breakfast imentosha

Shukran

Na kesho tena ...
 
hii ishu ya kuja nyumbani ghafla mara nyingine sio salama kwani inaweza kusababisha kilema hata kwa anayetaka kufumania imagine mwanamke anapofungua mlango halafu mtu anatoka spidi kutoka ndani hiyo collision itakayotokea hapo watu wa physics mtueleze inaitwaje
 
hii ishu ya kuja nyumbani ghafla mara nyingine sio salama kwani inaweza kusababisha kilema hata kwa anayetaka kufumania imagine mwanamke anapofungua mlango halafu mtu anatoka spidi kutoka ndani hiyo collision itakayotokea hapo watu wa physics mtueleze inaitwaje
[emoji23]double impact
 
Back
Top Bottom