MARRIAGE IS A CONTRACT FOR HAVING SEX

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Dec 30, 2016
3,601
9,065
Hivi inakuaje Great thinker wa JF unaingia mkataba na mtu ili uweze kupata ruhusa ya kufurahia tendo la kibaiolojia ?

Ukiamua kufurahia tendo la kibaiolojia nje na mtu uliyeingia nae mkataba eti ni kosa! (Dhambi).

Hebu tuacheni unafiki ! Hakuna mtu anayeweza kuuzuia mwili usifanye kazi yake ya kibaiolojia, mwili ukiamua hakuna anayeweza kuuzuia.

Hivi kuna utofauti gani kati ya mtu anayenunuliwa kwa kiasi kidogo cha pesa kwa muda mfupi, na yule anayenunuliwa kwa muda mrefu kwa kiasi kikubwa cha pesa kinachofahamika kama mahari ?

"Kikundi cha watu wachache duniani, kinaucontrol ulimwengu, kwa kuchangiwa pesa kwa hiari na watu bila wao kujitambua"
 
NDOA ni zaidi ya sex tena ni ibada sasa we endelea kushusha zipu bila responsibility yyt
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom