Dedication Matata kwa Dadii wa K' Mahaba

Dedication Matata kwa Dadii wa K' Mahaba

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,805
Reaction score
43,230
Holla...

It has been ages and everyday is a new day, being in love with Dadii makes me regain my grooves....

This song says all....

We didn't build it over night....
Cause we've been strong for too long, and baby...

I can't sleep without you baby...

Mahaba Matata kwa Dadii wa Kasie.

Mmuuahh!!!
 
Kali Sana hii dedication natamani ingekuwa imetumwa kwangu
 
Aiseee kwani anasemaje kwenye huo wimbo?
 
Huyo dadiii yumo humu?

Halafu weewee..... Uache hiyo tabia yako.

Uzi unaofuata naweka wazi kuwa..... Sukari ya warembo ndo Dadii wa K' Mahaba.

Nakutumishia matunda saa kumi jioni as evening snack, usiseme nimeweka limbwata hapo nimepiga simu tuu uletewe.
 
Aiseee kwani anasemaje kwenye huo wimbo?

Mahaba niue nigaragaze Ila usinitenge na Dadii wangu, nampenda kuliko shilingi.

Mwenyewe ananiambiaga, Kasie, wengi wanakutongoza, wanakutamani hao mie nakufahamu nakujua vilivyo na nakupenda asilani.

Basi naishia kumpa mabusu mazito mazito kila mahali....

Mungu atujaalie maisha marefu Dadii na kasie tuzidi kuoendana kama njiwa.
 
Hahah!

Nausubiri huo uzi kwa hamu...sukari inapokutana na mahaba...
Halafu weewee..... Uache hiyo tabia yako.

Uzi unaofuata naweka wazi kuwa..... Sukari ya warembo ndo Dadii wa K' Mahaba.

Nakutumishia matunda saa kumi jioni as evening snack, usiseme nimeweka limbwata hapo nimepiga simu tuu uletewe.
 
Always prepared...

We ndio mzee wa marathon kila siku waniacha solemba...

Hahahaaahahahahahahaaa weewee, umeanza eeehh...

Nahisi pacha wako aka anaeniuzia msuba anahusika, ngoja nimuite hapa ana kesi ya kujibu
Mentor nacho cha Ruwa, nkiki.....!!

Waalah kabla jua halijazama uzi utakuwa hapa pwaah...
 
Hahah waiting for that tag like never before...

Huyu jamaa ata sijui ako kipande gani, long time no see hebu ngoja aje hapa...

Back
Top Bottom