Kibobo na wanawake wa Dar

Kibobo na wanawake wa Dar

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
28,122
Reaction score
52,864
Rais wetu wa vibobo amekamatwa ila tuseme kweli alikuwa anatuinspire mabaharia wa kike.

Hichi kibobo changu sijui nakufunguaje ila mpaka mwaka uishe nitakuwa na kiwanja au gari.

Mimi nashauri tusiwe tunamchukia mtu kwa kila kitu. Yale mazuri yake nayo tuyaseme jamani

Mungu amfanyie wepesi tutaendeleza vibobo vyetu.

Kuna mwenzi nilidanga wee nikaweka laki nne na sabini.yeye akasema m 13.Daah
 
Aahahahahahahhaaaa babuuu, ujue ukiamka unanoga sanaa....

Sasa naisikia sauti yako barabara bin mubashara.

Velcome babuuuu hehehehehee.
Hii boxer ikitoboka unalo. Umezungumza mambo mazito mpaka biology yangu imefanya physical change... inawaza tu kumfanyia mtu wa jinsia KE chemistry kwenye kitendea kazi chake
 
Raisi wetu wa vibobo amekamatwa ila tuseme kweli alikuwa anatuinspire mabaharia wa kike.
Hichi kibobo changu sijui nakufunguaje ila mpaka mwaka uishe nitakuwa na kiwanja au gari.
Mimi nashauri tusiwe tunamchukia mtu kwa kila kitu .Yale mazuri yake nayo tuyaseme jamani

Mungu amfanyie wepesi tutaendeleza vibobo vyetu
Kuna mwenzi nilidanga wee nikaweka laki nne na sabini.yeye akasema m 13 .daah

Alisumbua sana akili yangu huyu dada nikawa najiona me ndosijui kuweka akiba lol kumbe muuza sembe
 
Afanaaleki... kifo hakina beki!

Lord have Mercy!!!

Hshahahahhahahahahaa babuu, umenikumbusha mbaalii.....

Hehehehehehheheheheheee ila Dadii anakumind nnavosemeshana na wewe hapa malabuku tatu kasoro hehehehehee.

Uzuri wake namuwahi kabla hajanuna.
 
Mwambie asiwe na mashaka. Mi nshazeeka... kojoleo mpk lisimame ni mpaka nione jogoo likigegeda.... afu ukilichelewesha likilala ni mpaka wiki mbili ziishe...

Afu huu uzii tunajadili mgegedo, kibubu au kiboo?
 
Hahahahabhahahaaa malabuku zako kumi na tatu kasorobo kama ndorobo eehehehehheeee
Wallah ningekuwa jirani yako ungenifinya hahahaa.

Tunajadili vyote hivyo si unaona vina na mizani vinaendana.
 
We endelea tu. Siku nikikukamata ntakutandika na mkongojo wangu mpaka uombe poo...

Na nilivyo na roho nzuri sikusamehi mpaka upate mimba ya mapacha watatu na robo
 
Rais wetu wa vibobo amekamatwa ila tuseme kweli alikuwa anatuinspire mabaharia wa kike.

Hichi kibobo changu sijui nakufunguaje ila mpaka mwaka uishe nitakuwa na kiwanja au gari.

Mimi nashauri tusiwe tunamchukia mtu kwa kila kitu. Yale mazuri yake nayo tuyaseme jamani

Mungu amfanyie wepesi tutaendeleza vibobo vyetu.

Kuna mwenzi nilidanga wee nikaweka laki nne na sabini.yeye akasema m 13.Daah
Hio tool ya kudangia ilipata malengelenge i guess!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom