Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ofa ya chakula kitamu ni mojawapo ya kuonyesha upendo kwa yule umpendaye.... Lakini vilevile ofa ya chakula hutumika kama kitongozeo, kama ndoana ya kunasa mpenzi.... Kuna chakula maarufu sana...
10 Reactions
60 Replies
6K Views
Habari za weekend wanaMMU. Kwenye andiko hili nitashare personal experience, experience ya watu wengine pamoja na yale ninayoyaona ama kuyasikia kwenye jamii zetu. Ikiwa umefikiria labda kichwa...
8 Reactions
50 Replies
3K Views
Kuna faida nyingi sana na kubwa mno za mwanaume kuto kuoa ukilinganisha na zile za kuoa. Hapa nitawekea chache tu. 1. Utaepukana na bughudha za mke za kila siku. 2. Utakuwa unakula k mpya kila...
7 Reactions
92 Replies
13K Views
Aman iwe nanyi wakuu Hakuna siku nilichukia kuishi dunian kama siku ile, ilikuwa ni siku mbaya sana kwangu toka nizaliwe nilimchukia sana mama japo yeye alinizaa Ilikuwa hivi tulikuwa tunapata...
28 Reactions
225 Replies
23K Views
Imekuwa ni kawaida sana kwa dada zetu kuvaa nguo ambazo zimekuwa zinatuonyesha amevaa nguo ya ndani ambayo ina ukubwa kiasi gani hasa pale uangaliapo miraba yake na mbaya zaidi nyigine hata rangi...
2 Reactions
221 Replies
39K Views
Yeass.. Wewe huko vipi. Mimi niliye huku kwenye baridi kali... Iringa nyama tunainunua kama ilivyo ....mikono yetu ndo inasaidia kupima joto like tamu au sio tamu....itaiva haraka au...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Mimi ni kijana mwenye umri miaka ishirini na nane 28, nimetokea kumpenda binti dini ya Kisilaam ni takribani miaka minne hivi sasa, amekuwa akishindwa kuniweka wazi kama ananipenda,ingawa ukaribu...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
WANAWAKE kaa ukijua kwamba hakuna mwanaume mwenye hivi vyote... 1.Good dick game 2.Empathy 3.a height above 5'9 4.no hoes 5.common sense 6.Money Ushauri kwa hawa dada zetu chagua namba moja tu...
7 Reactions
148 Replies
13K Views
me naona ahamie moro tu[emoji3]
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mabaharia aka masela wenzangu leo nimeona tuambiane ukwel mapema kabisa. Masela hakuna kitu kinachotia stress mabaharia kwenye suala la kitandani wengi hapa tunashindwa play vizuri Usiombe...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Siku hizi kumeibuka vijana wengi kupenda misambwanda na hii imepelekea wadada wengi kutumia madawa ya kichina kuongeza makalio na wengine kupelekea kufanyiwa upasuaji. Wanawake wanabadilika...
2 Reactions
16 Replies
14K Views
Mwanamke umemuoa kwa kutoa mahali hujafunga nae ndoa umeishi nae miaka sita bila kupata mtoto. Lakini ulipo muoa ulimwambia Nina mtoto wa kiume nje. Baada ya changamoto za maisha kama kutofautiana...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari za Majukumu!? Nilikuwa na Mpenzi wangu wa Tangu Shule ya Msingi tupo wote, Sekondari Pia, Tukahitimu Tukarudi uraiani Tukiwa wote, Baadae yeye Alibahatika kupata kazi kabla yangu Akaondoka...
1 Reactions
35 Replies
23K Views
Fri,may 31 Anazungumza msemaji wa chama ndugu twiga Tyson anasema Kama mkereketwa wa hiki Chama Chaputa yeye anatokea mbeya ananipa risala ya kwamba Chama hiki kimefanikiwa kuokoa kundi kubwa la...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Inasikitisha sana wakuu
5 Reactions
7 Replies
2K Views
Especially kitu cha sacrament from haile selasie,kitu cha chuga hua naenjoy sana kampani yao hata mapenzi yao moto moto. Anyone interested kesho twende tukahangout somewhere and have a good...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Salamu kwenu. Mimi kwa sasa ni mwanafunzi mwaka wa 3, chuo kimoja cha taasisi ya dini, kozi ya uuguzi ngazi ya diploma ikiwa imebaki kama miezi miwili nimalize chuo kuna changamoto zifuatazo. 1...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Dada zetu wenye experience na sisi wanaume haya yanayosemwa ni kweli?? Zifutazo ndizo sifa walizanazo wanaume katika ulimwengu wa wapenzi na mahusiano: 1. Ukimkuta handsome, mawazo yake yanakuwa...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Unapaswa uwe mkimya sana.... Usiwe mtu wa media. Umwache tu afanye harakati anazofanya. Wewe pambana naye kitandani home. Mgegede hasa.... Mgegede mchana, mgegede usiku,mgegede asubuhi, mgegede...
10 Reactions
40 Replies
6K Views
Jaman mi ninachohitaji ni ushauri nipo katika hali mbaya kuna mwanamke nampenda sana lakin kasikia kua nina dem mwingine kitu ambacho sio cha kweli kisa tu nilipiga nae picha basi rafiki zake...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…