Kuku mzima wa uswazi

Kuku mzima wa uswazi

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
371,741
Reaction score
861,138
Ofa ya chakula kitamu ni mojawapo ya kuonyesha upendo kwa yule umpendaye.... Lakini vilevile ofa ya chakula hutumika kama kitongozeo, kama ndoana ya kunasa mpenzi.... Kuna chakula maarufu sana kinaitwa chips [emoji489] kuku [emoji239] achana kabisa na hiki chakula..... Kimewanasa wengi mno.... Kuna mpaka watoto waliopatikana kupitia hiki chakula....
Bei ya chips [emoji489] kuku[emoji239] inatofautiana kulingana na mazingira... Kuna chips kuku kuanzia buku mpaka elfu kumi na tano
Sasa uswahilini kuna CHIPS [emoji489] KUKU [emoji239] mzima(sio kuku aliye hai) la hasha, chips kuku mzima ni combination ya halo halo, cheni bloku na namba eleven kwa gharama ya Tsh 2500/= tu....
Yani ni chips za buku, kichwa cha kuku kilichosokomezwa miguu miwili ya kuku kisha kwa pamoja vikapigwa kabari na utumbo wa kuku..... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji12]
Hiyo ndio chips kuku mzima ya uswazi inayowatia wazimu watoto wa kike.... Najua ulishawahi kupewa ofa hii wee mdada japo ni kitambo sana
 
Hizo chips za vichwa, ng'oko na utumbo za tandika na kigogo haziwezi kuwa na tija kwa warembo wanaojielewa. We endelea kula kwa urefu wa kamba yako akina Shida, Sikitu na Tatu wanawake wanaonemwa kabla ya kuolewa.

Huku kwa akina Loreen, Shawna, Marylin, Nolanda na Taliyah waachie wenye kipato cha kwenda kulishia chips za KFC wale nchi mzee. Hii ndio DSM kamanda!
 
Shida, Sikitu na Tatu, Mkuu Umetishaaaaa
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Ofa ya chakula kitamu ni mojawapo ya kuonyesha upendo kwa yule umpendaye.... Lakini vilevile ofa ya chakula hutumika kama kitongozeo, kama ndoana ya kunasa mpenzi.... Kuna chakula maarufu sana kinaitwa chips [emoji489] kuku [emoji239] achana kabisa na hiki chakula..... Kimewanasa wengi mno.... Kuna mpaka watoto waliopatikana kupitia hiki chakula....
Bei ya chips [emoji489] kuku[emoji239] inatofautiana kulingana na mazingira... Kuna chips kuku kuanzia buku mpaka elfu kumi na tano
Sasa uswahilini kuna CHIPS [emoji489] KUKU [emoji239] mzima(sio kuku aliye hai) la hasha, chips kuku mzima ni combination ya halo halo, cheni bloku na namba eleven kwa gharama ya Tsh 2500/= tu....
Yani ni chips za buku, kichwa cha kuku kilichosokomezwa miguu miwili ya kuku kisha kwa pamoja vikapigwa kabari na utumbo wa kuku..... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji12]
Hiyo ndio chips kuku mzima ya uswazi inayowatia wazimu watoto wa kike.... Najua ulishawahi kupewa ofa hii wee mdada japo ni kitambo sana

mshana jr umeenda mbali mno, para anapigwa hata mke wa mtu kwa muhogo wa kuchoma na kachumbari (bei buku tu)....umewapendelea sana kina mama, hiyo combination uliyoitaja ni 'LUXURY' yaani umnunulie mwanamke kuku kwa ajili ya gegedo? No way....mtombo ni offer kwetu wanaume kuwasaidia wanawake, HAIWEZEKANI mwanamme umnunulie mwanamke chakula ili atoe offer ya gegedo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom