Roho Mbaya
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 777
- 677
Mimi ni kijana mwenye umri miaka ishirini na nane 28, nimetokea kumpenda binti dini ya Kisilaam ni takribani miaka minne hivi sasa, amekuwa akishindwa kuniweka wazi kama ananipenda,ingawa ukaribu wangu mimi na yeye ndani ya miaka hiyo minne umewaaminisha watu kuwa tupo kwenye mahusiano.
Kutokana na hali hiyo nikamtangazia kumuoa lakini amekuwa akinikatalia ombi langu la kuolewa na mimi kisa tofauti ya dini, kuwa mimi ni mkiristo ingawa mpaka muda huu tayari nipo nae kwenye mahusiano ya kimapenzi.
Tatizo nikimugusia swala la kumuoa yeye anaingiza kigezo cha dini, naombeni ushauri wenu, kweli binti nampenda na yeye ananipenda ila kosa hii dini inanikosesha mke.