It's Second of June... Tupeane report juu ya matumizi ya Rambo..

It's Second of June... Tupeane report juu ya matumizi ya Rambo..

data

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
26,942
Reaction score
23,893
Yeass..
Wewe huko vipi.

Mimi niliye huku kwenye baridi kali... Iringa nyama tunainunua kama ilivyo ....mikono yetu ndo inasaidia kupima joto like tamu au sio tamu....itaiva haraka au kuchelewa....

Maana unapewa kwa gazeti then unajua mapema kabisa ni wet au dry. Ama kweli rambo tutawamisi..

Tupeane report .... Huko kwako vip!???
 
Singida Mifuko inauzwa , Yaani mtoa huduma anakuuzia mchele na mfuko, Hutaki acha , Tena kwa jeuri anakuambia kama hutaki acha mchele/bidhaa uondoke.

Mfuko mdogo 200 mkubwa mia 3.

Huku mifuko ni fursa, Me mwenyewe ukinunua simu ndogo ndogo hizi za button sikuwekei kwenye mfuko, Labda simu janja kidogo nitakufikiria.
 
Huo wa mia tatu una upana gani!?? Jeee! Mzigo utafika nyumbani na joto lake au utapelepetwa.

Tulikua na uwezo wa kuzibana rambo kutokana na bidhaa ..... Sasa je!? Bidhaa za majimaji.!?
 
Singida Mifuko inauzwa , Yaani mtoa huduma anakuuzia mchele na mfuko, Hutaki acha , Tena kwa jeuri anakuambia kama hutaki acha mchele/bidhaa uondoke.

Mfuko mdogo 200 mkubwa mia 3.

Huku mifuko ni fursa, Me mwenyewe ukinunua simu ndogo ndogo hizi za button sikuwekei kwenye mfuko, Labda simu janja kidogo nitakufikiria.

Ndio maana huo mkoa haubadiliki kiuchumi....hamjali wateja, mngeweza uza hiyo mifuko ila mngeboresha hiyo kauli....
 
Viwanda vitengeneze mbadala wa za bure kama hizi
FB_IMG_1559196717837.jpeg
 
Ndio maana huo mkoa haubadiliki kiuchumi....hamjali wateja, mngeweza uza hiyo mifuko ila mngeboresha huyo kauli....
Maendeleo ya mtu mmoja mmoja ,alafu usilolijua watu wananunu mifuko hatari.

Alafu mimi siyo wa singida hapa napita tuu mnama
 
Hizi rambo wakati mwingine hutumika kama CONDOM...

huu ni msiba aisee
 
Daaa mm nahuzunika kilemba cha vumbi la kongo nafungaje bila rambo😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom