Msambwanda ni Furaha ya Macho tu...Ukitaka Kuenjoy Jaribu Viuno Dondola aka Vimodo

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,744
25,446

Siku hizi kumeibuka vijana wengi kupenda misambwanda na hii imepelekea wadada wengi kutumia madawa ya kichina kuongeza makalio na wengine kupelekea kufanyiwa upasuaji.

Wanawake wanabadilika kutokana na mahitaji ya wanaume wanachovutiwa nacho kuendana na wakati ili na wao wasiwe wanakosa mtu anayewavutia.

Nikiri wazi kabisa, misambwanda inapagawisha unapokutana nayo, usipokua makini waweza kuacha njia au ukagongwa na vyombo vya moto. Lakini, unapohitaji kufaidi hivi viumbe, misambwanda sio dili.
Hivi viuno vya dondora hivi ndiko tunakoacha maisha na uhondo wenyewe, walah! Kiuno cha dondora kina mambo mengi mno.

Walah! Kiuno cha dondora utake style gani usipewe, uende goli ngapi usipewe.

Nilikua muumini mkubwa wa msambwanda, lakini nimegundua naibiwa, nahamia mtaa wa saba.


 
ukiwa na mwenye msambwanda, baadae utamkinai utataka mwenye kiuno namba nane, utahadithiwa wafupi nao mambo ni moto, utatafta mfupi, ukishaijua ikoje utatafta flat screen, basi ndio hivyo tumeumbwa na hisia flani flani za kiwazimu wazimu hivi, huenda hata wewe mtoa mada unaweza kukuta mkeo ni bombaa mnoo, lakini ukakutwa unambandua beki tatu kisa kiuno tu..
 
Wembamba hata ukiwa na kibamia utamu utausikia tu! Mibonge Style nyingi haiwezi ila mwembamba kila ukimkunja anakubali pia vyembamba vingi huwa vina kitu mnato.
 
Nishawakula aina zote wenye misambwanda ya kutisha, viuno nyigu, wafupi, warefu, mabonge nyanya... Ila kambi nimeamua kuweka kwenye mizigo ya haja (misambwanda) nipate joto lakutosha.
Kila mtu na mahitaji yake.
Kweli wewe Nouma mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom