Azimio la chama Cha Chaputa,msemaji aelezea mafanikio kimesaidia kupunguza maambukizi ya ukimwi

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,568
44,786
Fri,may 31
Anazungumza msemaji wa chama ndugu twiga Tyson anasema Kama mkereketwa wa hiki Chama Chaputa yeye anatokea mbeya ananipa risala ya kwamba Chama hiki kimefanikiwa kuokoa kundi kubwa la vijana ambao laiti Kama wangeamua kujihusisha na ngono kwa umalaya basi yangewakuta ya kuwakuta.imagine ingekuwa hamna kufanya punyeto zile nyege zote zikijaa watu si wangefanya Sana uzinzi na kuzini na watu na kupelekea maambukizi Kuwa makali kwa kiwango kikubwa
hitimisho:Jijali afya yako tumia kondom ukishindwa piga pull
Imetolewa na Mdau chaputa anapatikana Soweto mbeya anakubali Sana harakati zao anasema one day wakifanikiwa kupata hela wataoa soon wameshakuwa wakubwa then wanaachana nayo.ila haina matatizo Sana Ila washirika wamethibitisha
Katika mdahalo uliopita ambao umehitimishwa leo swali lilikuwa Ni Kama punyeto haina Faida nyingi Kuliko hasara au Haina hasara nyingi Kuliko faida? Ni kweli haipendekezwi kwa sababu mazoea matamu yatakupeleka mbali utashindwa kurudi Ni wosia ndani ya chama.wanachama watoto na wakubwa wote
Msemaji anamaliza kwa kusema kila mtu aubebe msalaba wake mwenyewe.
 
Back
Top Bottom