Mapenzi Popote Ulipo, Mungu Anakuona.

Mapenzi Popote Ulipo, Mungu Anakuona.

Leo jioni nikiwa nampeleka demu wangu rum kwake kwa bahati mbaya wakati anaruka mtaro akajikwaa akaangukia ndani ya mtaro, kwa kweli niliumia sana na nilimuonea huruma nkamsaidia mpenzi wangu.


Baada ya kumfikisha kwake, me nikiwa njiani kuelekea rum kwangu, nikamkumbuka mshikaji wangu nae alianguka mtaroni na sikumsaidia chochote zaidi ya kumcheka.


Mapenzi popote ulipo nunua balimi nakuja kulipa.
iyo ni kawaida sana, mwanaume unataka umsaidie ili iweje?

mtoto wa kike hata asipokua demu wako unapaswa kumsaidia
 
Back
Top Bottom