Mnaachwa kwa uvivu wenye. Mtoto wa kike hatakiwi awe mvivu.
1. Kitanda kitandikwe na kivutie kila wakati. Kama unaenda kazini hakikishaeumetandika kabla hujaondoka nyumbani. Shukawzifuliwe...
Habari zenu ndugu zangu, matumaini yangu ya wazi kuwa hamjambo na mnaendelea na harakati za kulisukuma gurudumu la Maisha.
Kwa upande wangu weekend ya leo haijakaa sawa, nahisi kuchanganyika...
First time natimba DSM man nilishangaa kinoma yaani kuona mamen wa DSM wapo soft kinyama wanavaa mihereni wamejichubua kichiz unakuta man Demu kavaa kimeni na raba siunajua mamanzi wa kidsm Tena...
1:Kwa mwanaume-Kuambiwa nimeshatoa mimba yako siko tayari Kuzaa nawewe kuanzia leo tuwe tunatumia kinga,au kuambiwa kuanzia leo hii sikutaki tena nimempata mwanaume mwingine.
2:Kwa...
Kuna demu ananishobokea sana, ila kila nikimgusia maswala ya mapenzi anabadilika kama chui..
Yani tukikaa week hatujaonana, basi siku akiniona anachangamka anani-hug na mabusu mengi mengi ...
Ilikiwa tarehe 25 Mei ,2019, mamia ya watu walipokusanyika katika kijiji cha Rugando nchini Uganda katika sherehe ya kutoa mahali ya wasichana mapacha , Bi Priscilla Babirye na Bi Pereth Nakato...
Habari ya mchana....
Huyu kaka niko naye kwenye mahusiano kwa muda sasa niseme tu ameokoka anasali haya makanisa ya kiroho.Nilimpenda japo yeye hakunipenda kama alivyokua ananiaminisha.
Sasa...
Hii ni fursa nyingine kujuzana mawili matatu kuhusu mahusiano......ni ukweli kwamba ukiachwa kwenye mahusiano inauma sana, kuliko kuacha. Sasa zifuatazo ni "tips" za kufanya pindi unapoachwa na...
If you don't truly love him why will pretend to love him?
He will be calling you on phone but unknown to him, you store his number like this KIBAJAJI , BODABODA, POYOYO e.t.c...
Research tunakoelekea Sasa DSM kutakuwa hakuna wanaume Tena [emoji2955][emoji2955][emoji2955][emoji848][emoji848] ngoja kidogo thrend inaendelea hapa ni reasch inaloeading,,,,,,
Wale wanaume mahandsome boys aka Hb's, masharobaro, matozi, mabishoo nk. Jaman bila ubish hawa watu wanakula kazi mbovu sana "madem wabaya" huku mijini kias kwamba demu huyo hta nipewe bure me...
Baada ya wiki 2 nitatoa full story kumhusu huyu dada.
Hadidu za rejea ni:-
1.Anatoka familia bora ama familia choka?
2. Tabia zake kabla ya kukutana na prof kimahusiano zilikuwaje?
3. Amekutana...
Hapo vip!!
Katika tafiti zangu dhidi ya wanaume weupe Kwa weusi, ni nimegundua wanaume weusi wanapenda Sana kufanya mapenzi kuliko wanaume weupe, pia wanapenda Sana kubadilisha wanawake,wanaume...
Kwa mtazamo wangu,mapenzi yana nguvu sana kwa mwanaume kuwa na juhudi katika kufanikiwa kimaisha.Yanamfanya 'me' atumie akili na nguvu zake zote ili mwisho wa siku apate utambulisho kwa 'ke'. 'Me'...
Wadada wa mjini mjue mnashangaza sana
Mdada unatoka nyumbani kwako na kinguo chako kifupi huna gari basi njia nzima unajipinda kila wakati kuishusha hiyo nguo yako ivuke magoti,je wakati unaivaa...
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana
Mapenzi ni hisia baina ya jinsia ya kike na kiume, ingawa unaweza kumpenda mtu kama rafiki yako tu wa kawaida wote mkiwa wa jinsia moja.
Hapa nazungumuzia...
Habari za muda huu wana JF wenzangu.
Poleni kwa majukumu ya kiutafutaji wa maisha,kwa wengine hongereni kwa mapumziko mema ya sikukuu ya maadhimisho ya muungano.
Bila kupoteza wakati naomba kujua...
Miaka ya karibuni kumekua na wimbi LA wazee kuoa slay queen, na wamekua wakiwaona vijana hawana akili Kwa sababu hawawaoi maslay queen
Ukweli ni kwamba maslay queen wengi wao ni magold digger...
Unakataa Kuwa dem yangu
Naenda kwa Mrogi nakuroga unakufa
Na nakujaa kwa mazishi yako
Kukula na kukunywa Nikucheke ukizikwa
Unaringaga unaringa nini?
Na sura mbaya ata kuliko mbuzi
Roho chafu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.