makaj
JF-Expert Member
- Jul 27, 2018
- 318
- 376
Hii ni fursa nyingine kujuzana mawili matatu kuhusu mahusiano......ni ukweli kwamba ukiachwa kwenye mahusiano inauma sana, kuliko kuacha. Sasa zifuatazo ni "tips" za kufanya pindi unapoachwa na mpenzi wako ili iwe kama umeacha, hii itakupinguzia maumivu pia!!
1 Jiridhishe kama umeachwa
Apa unaongea nae mtu wako kama atakuruhusu, kama hajataka maongezi na wew potezea mara moja....na ndio iwe mwisho kumtafuta.
2 Epuka kuwa wa kwanza kuwajulisha watu kwamba uhusiano wenu umeisha.
Pls ingawa utakuwa unaumia lakini jikaze epuka kuwa wa kwanza kuwajulisha marafiki zenu waliokuwa wanajua uhusiano wenu.
3 Epuka kupost sana mitandaoni unapoachwa.
Watu wanashindwa ku hold tight" hivyo kukimbilia mtandaoni kupost , hii itaku expose sana kwa watu kwamba unapitia wakati mgumu., Ko epuka hili ili na mtu huyo asijue jins una feel baada ya kukuacha.
4 Siku mkikutana onesha bado una furaha na msalimie pia..!!!
Hi itakupa confidence sana, baada ya kukuona bado upo Happy automatically atataka mzoeane ....ukigundua ivo tu anza kumkaushia.
5 Baada ya muda kupita wajulishe washikaji zako.
Faida ya kujipa muda kutafakari, utawajulisha marafiki zako ukiwa umerelax bila hisia Kali!!!!
NB...kuachwa kunauma hasa ukiachwa bila kutegemea Na mtu uliyekuwa unampenda lakin sababu life lazima lisonge .....basi hizi tips husaidia