Mr wenu
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 1,088
- 1,666
Habari za muda huu wana JF wenzangu.
Poleni kwa majukumu ya kiutafutaji wa maisha,kwa wengine hongereni kwa mapumziko mema ya sikukuu ya maadhimisho ya muungano.
Bila kupoteza wakati naomba kujua no kwanini wanawake weusi pure ndio wanaopendwa zaidi na wanaume kuanzia Afrika mpaka huko kwa wazungu?Mfano tazama picha halo chini
Naomba kuwasilisha mada.