Ujumbe Kwa Ma Slay Queens

Chaliifrancisco

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
23,327
69,562

Unakataa Kuwa dem yangu
Naenda kwa Mrogi nakuroga unakufa
Na nakujaa kwa mazishi yako
Kukula na kukunywa Nikucheke ukizikwa
Unaringaga unaringa nini?
Na sura mbaya ata kuliko mbuzi
Roho chafu kama ya shetani
Unadhaniaga wewe ni nani?

Taka taka taka taka
Mapepo zinakufuata
Sijui ata ni nini niliona kwako
Ata ningejua ningekatia dadako
Taka taka taka taka
Mapepo zinakufuata
Sijui ata ni nini niliona kwako
Ata ningejua ningekatia dadako

Ulinikataa juu ulijua ntakukataa
Ju ka hungenikataa mi ningekukataa
So nikangoja we ndo unikatae first
Coz am a gentleman and ladies go first
But let me tell you something young woman
Apana wekea wanaume roho ya chuma Ukikatiwa joh kubali kukatika
Ama ukizeeka ndio maringo itaisha
Bure kabisa Na ukwende kabisa
Tuma beshte yako akujie izo nguo ulibakisha
Bure kabisa Na ukwende kabisa
Tuma beshte yako akujie izo nguo ulibakisha

Unakataa Kuwa dem yangu
Naenda kwa Mrogi nakuroga unakufa
Na nakujaa kwa mazishi yako
Kukula na kukunywa Nikucheke ukizikwa Unaringaga unaringa nini?
Na sura mbaya ata kuliko mbuzi
Roho chafu kama ya shetani
Unadhaniaga wewe ni nani?

Taka taka taka taka
Mapepo zinakufuata
Sijui ata ni nini niliona kwako
Ata ningejua ningekatia dadako
Taka taka taka taka
Mapepo zinakufuata
Sijui ata ni nini niliona kwako
Ata ningejua ningekatia dadako

Kukupenda ndio mi huregretingi tu sana Hata natamaningi hatungewai patana Unaishi maisha fake na umejaa tu madrama
Ata nashukungu uliwachiangwa laana Mara ati leo unaitwa Natasha
Kesho umechange jina unaitwa Soni
Leo uko single kesho ukona bwana
Mara unaishi Ronga mara unaishi doni
I even suspected you are a criminal
Na kama we ndo dem acha nikae hivo Staki ata mwingine acha nikufe single Umeniacha na chronic bachelor syndrome

Hiki ni kiswahili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom