Ma Handsome boy ndio wanaongoza kwa kutembea na mademu wabaya.

BROKE BOYS

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
13,218
39,047
Wale wanaume mahandsome boys aka Hb's, masharobaro, matozi, mabishoo nk. Jaman bila ubish hawa watu wanakula kazi mbovu sana "madem wabaya" huku mijini kias kwamba demu huyo hta nipewe bure me sitoweza.

Kama huamin ww jaribu siku kufuatilia utaamin haya nayosema ni wachache sana ambao wanatoka na madem wakali ila weng wao wanakula kazi mbovu sana.

Je ni kwamba dada zetu hawapendi ma Hb?? Masharobaro??. Je kwann ma hbs wanashindwa kula madem wakali? Au ndo mafahali wa2 hawakai zizi moja??

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu "beutfulness lays in the hands of the beholder" .... huwezi ku define beautiful ni yupi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ben Kinyaia ameoa leo pia!
Bibi%20kapata%20bwana%20na%20bwana%20kapata%20bibi..nataka%20kujua%20kumbe%20Ben%20ameoa%20ta...jpeg
 
Wale wanaume mahandsome boys aka Hb's, masharobaro, matozi, mabishoo nk. Jaman bila ubish hawa watu wanakula kazi mbovu sana "madem wabaya" huku mijini kias kwamba demu huyo hta nipewe bure me sitoweza.

Kama huamin ww jaribu siku kufuatilia utaamin haya nayosema ni wachache sana ambao wanatoka na madem wakali ila weng wao wanakula kazi mbovu sana.

Je ni kwamba dada zetu hawapendi ma Hb?? Masharobaro??. Je kwann ma hbs wanashindwa kula madem wakali? Au ndo mafahali wa2 hawakai zizi moja??

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mimi na u handsome wangu kila nnapomtongoza demu mkali, ananiletea mashauzi yaani eti naye ananiringia uzuri!
Basi huwa tunaamua kujibebea vipori hawana usumbufu, isitoshe wanakuhusudu.
Ndo maana mimi mke wangu ni kipori wa sura na rangi lakini ananipa huduma ya ndoa vyema.
Uko sahihi kuwa handsomes huopoa vipori..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom