Wanaume....!

bweke

Member
Sep 6, 2017
94
298
Habari ya mchana....

Huyu kaka niko naye kwenye mahusiano kwa muda sasa niseme tu ameokoka anasali haya makanisa ya kiroho.Nilimpenda japo yeye hakunipenda kama alivyokua ananiaminisha.

Sasa bwana last week tulikua pamoja kwake.
Asubuhi alitoka,katika pitapita zangu nikakuta nguo za kike na viatu.

Mapigo ya moyo yalishtuka kidogo, baada ya kurudi nauliza vile vitu ni vya nani jibu nililopewa ...kiherehere changu kimeniponza kwanini niangalie vitu vyake bila ruhusa yake!?

Nilichoka na jibu nikaamua tu kuondoka....Wanaume mpendwe vipi jamani!?

Nilichogundua nilikua mpango kando pasipo mwenyewe kujua........

Si angeniambia tu tunasogeza siku... kinachoniuma hakuniambia ukweli nikampenda mzimamzima......
 
Nakuomba please Ni pm nimekaa single mda mrefu leo Mungu aliniambia utapata mpenzi bila kutazamia na ndo hivi nahisi umekuja..nakuomba Ni jib meseji yangu niliyokutumia PM
PLEASE PLEASE DO ME A FAVOR..NISHAKUPENDA MWENZIO SIJUI NIELEZEAJE UAMINI KAMA NI KWELI NAMAANISHA NIKABIZI MOYO WAKO TUYAJENGE MAISHA YENYEWE MAFUPI HAYA..YAANI NAKUAHID MBELE YA WANA JF NITATULIA TULI NA WEWE PEKE YAKO
 
Haya watu washakujawanaokutaka. Tusikusikie tena kulalamika. Shuwayn mkubwa wee. Unapekura pekura tu
 
Uliliwa mara ngapi
Habari ya mchana....

Huyu kaka niko naye kwenye mahusiano kwa muda sasa niseme tu ameokoka anasali haya makanisa ya kiroho.Nilimpenda japo yeye hakunipenda kama alivyokua ananiaminisha.

Sasa bwana last week tulikua pamoja kwake.
Asubuhi alitoka,katika pitapita zangu nikakuta nguo za kike na viatu.

Mapigo ya moyo yalishtuka kidogo, baada ya kurudi nauliza vile vitu ni vya nani jibu nililopewa ...kiherehere changu kimeniponza kwanini niangalie vitu vyake bila ruhusa yake!?

Nilichoka na jibu nikaamua tu kuondoka....Wanaume mpendwe vipi jamani!?

Nilichogundua nilikua mpango kando pasipo mwenyewe kujua........

Si angeniambia tu tunasogeza siku... kinachoniuma hakuniambia ukweli nikampenda mzimamzima......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom