Mwanamke katika maendeleo ya mwanaume

Mwanamke katika maendeleo ya mwanaume

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
40,029
Reaction score
61,933
Kwa mtazamo wangu,mapenzi yana nguvu sana kwa mwanaume kuwa na juhudi katika kufanikiwa kimaisha.Yanamfanya 'me' atumie akili na nguvu zake zote ili mwisho wa siku apate utambulisho kwa 'ke'. 'Me' anapokataliwa anaongeza juhudi katika utafutaji ili alipize kisasi kwa aliyemkataa.
Bila 'ke' 'me' wasingekuwa wapambanaji katika kutafuta maisha
 
Hamna lolote....upambanaji hauitaji motisha toka kwa mwanamke bwana.....kwanza ni udhaifu kwa mwanaume kutegemea motisha toka kwa mwanamke....mwanamke ni msaidizi sasa maana yake wee mwanaume ni kiongozi sasa kiongozi apatataje motisha toka kwa msaidizi...inatakiwa iwe vice versa.
 
Mwanzo nilikuwa siamini kale kamsemo "behind every successfully Man there is woman " haijalishi ni mpenzi, mke, au mama

Lakini nikijitathimini nilipotoka na motivation na msaada umetokwa kwao hawa warembo wanachangia maendeleo yetu either yawe mazuri au mabaya


Bora haya maua yaendelee kuwepo ni faraja kwetu at the same time yanakuwa chanzo cha anguko letu au kufanikiwa kwetu

Karibu msokoto (cannabis sativa) navuta cha mbulu
 
Back
Top Bottom