Tafiti kufikia 2035 Dar kutatoweka Really Men

Tafiti kufikia 2035 Dar kutatoweka Really Men

Morg

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2018
Posts
1,299
Reaction score
1,804
Research tunakoelekea Sasa DSM kutakuwa hakuna wanaume Tena [emoji2955][emoji2955][emoji2955][emoji848][emoji848] ngoja kidogo thrend inaendelea hapa ni reasch inaloeading,,,,,,
 
Kwamba watahama, au watatoweka kama wanavyotoweshwa na wasiojulikana?
 
Research tunakoelekea Sasa DSM kutakuwa hakuna wanaume Tena [emoji2955][emoji2955][emoji2955][emoji848][emoji848] ngoja kidogo thrend inaendelea hapa ni reasch inaloeading,,,,,,
Ni kweli research is in loading lakin kichwa loading error
 
Kufikia 2035 itakuwa ushajua kingereza cha kuandika[emoji28]
 
Mkuu huo utafit wako umeconsider nini?? Umetumia methodology gan??Au umeamka na kuandka tu
 
Watakuwa washakuwa wanaume wa kinondoni tayr
Dunia inakwenda Kasi kweli kweli
 
Huo utafiti Mimi pia nafanya ila kwa kuongezea tu kufikia 2035
Wadada hawatawataka wanaume bali dildo zitatawala
Nguvu za kiume ndio sababu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom